Lyrics > Blinky Bill – Nataka Toa Lyrics

Blinky Bill – Nataka Toa Lyrics

Blinky Bill - Nataka Toa Lyrics

Listen and read Blinky Bill – Nataka Toa Lyrics on Doba KE.

Released before his Kashata Live concert in December 2024, Blinky Bill samples “Nataka Toa” by Necessary Noize and Nyota Ndogo from their debut album Necessary Noize.

Blinky Bill also performed the song at the recently concluded Sauti za Busara concert in Zanzibar.

Read Blinky Bill – Nataka Toa Lyrics

[Chorus]

Na mi nataka toa, yamejaa moyoni
Na mi nataka toa, yamejaa moyoni
Wengi walisema, wasitoweza
Wengi walisema, wasitoweza

[Verse 1]

Na mi nataka toa
Toa natoa, I say yeah
Na mi nataka toa
Yo, no (toa natoa)

Na sitoi bila
Wenye sikio basi msikie
Ukipata shida usikimbie
Na kama kawaida mtulie

Hawawezi amini vile hatukukwama bro
Kukaza tulikaza mpaka leo tuko hapa joh
Mara mingi sana nilidhani nitazama joh
Bad to the bone mi ni nani kichwa ngumu so

I said “wake up, shake up!”
[?] he’s a rocker don’t stress me
Right here, right now
Mi nimejipanga don’t vex me

[Chorus]

Na mi nataka toa, yamejaa moyoni
Na mi nataka toa, yamejaa moyoni
Wengi walisema, wasitoweza
Wengi walisema, wasitoweza

[Refrain]

Leo niko jukwaani
Wamesema wamechoka
Leo niko jukwaani
Wamesema wamechoka

Nawauliza wenzangu
Mnaonyamaza
Nawauliza wenzangu
Mnaonyamaza

[Verse 2]

Here we go (here we go), here we go (here we go!)
Seen the mood right now, and you know
Kumechachacha, don’t worry
Nawawashasha mahali

Oya, oya, oya 1, 2, 3, 4, what you lot are waiting for?
Wengine mjipe job, mnataka nini yo
Click click, bang bang, kama kawa rise again
Here’s a little trivia, tema hio jaba ah

Hamtanishow, ni mi nawashow yeah
Mungu akifanya kazi mimi ninakimya
Ati niko aje, mi niko fantastic
Mradi imejipa, oh damn, niko kadi

Ace of Spades ah, in my deck ah
Patience pays ah, run that cheque ah
Cut them keys ah, open doors ah
Ka tunaeza ifanya tutaifanya tena

[Chorus]

Na mi nataka toa, moyoni
Na mi nataka toa, moyoni
Wengi walisema, wasitoweza
Wengi walisema, wasitoweza

[Instrumental Break Outro]
Blinky Bill – Nataka Toa

Produced by: Blinky Bill


Did you enjoy Blinky Bill’s “Nataka Toa” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts