Collo Blue – Dance Samawaah Lyrics Ft. Ndovu Kuu
Nafeel ni nyota ni low oh oh oh
Niko low oh oh oh
[Pre-Chorus: Collo Blue]
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingiza tingiza ni kama unanitania
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingi- tingi- ti
[Chorus: Collo Blue]
Alafu bas nipe dance samawaah (ooh), samawaah
Dance mpaka waah (ooh), mpaka waah
Si udance samawaah (ooh), samawaah
Dance mpaka waah (ooh), mpaka waah
Juu (nyota), juu (nyota)
Hii ni lazima iende juu (mpaka waah)
Juu (nyota), juu (nyota)
Chunga usiibiwe nyota
[Verse 1: Ndovu Kuu]
Whine and koch it, bring it down and touch it
Ka ni kwela na majegi ni maziwa packet
Ni kahotter na hakawezi kuvalia jacket
Nakatoa market, ah jamani, fuck it
Na-na-na-naipimanisha ananibalance balance
Kanadai fumblisha nakapatia kachance
Kwanza venye anachachisha nakamezea kaglance, ai
Naskia alikupea
[Refrain: Collo Blue]
Alinipea sikukataa
Na venye mi hukuwa superstar
Na wengi wao hutafuta chance
Namwambia lazima wajue kudance
[Pre-Chorus: Collo Blue]
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingiza tingiza ni kama unanitania
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingi- tingi- ti
[Chorus: Collo Blue]
Alafu bas nipe dance samawaah (ooh), samawaah
Dance mpaka waah (ooh), mpaka waah
Si udance samawaah (ooh), samawaah
Dance mpaka waah (ooh), mpaka waah
Juu (nyota), juu (nyota)
Hii ni lazima iende juu (mpaka waah)
Juu (nyota), juu (nyota)
Chunga usiibiwe nyota
Ah ah aki walai, eh heh
[Verse 2: Collo Blue, Ndovu Kuu]
Ilikuwa Decem twenty fourth mi hata sikuwa na form
Alafu mpoa akaniphone akadai mi niperform
Ni wa huko 44 si unajua where I’m from?
After joh mi kuperform akadai twende home
Na ukaenda? Bro si unacheki vile mgala ako na denda
Bro sa juu ya bunda we ukaamua kunitenda
Bro hukuniambia sikuwa rada unampenda
After umekenda sa unareturn to sender?
Simtaki, uko uko sure humtaki?
Umbwa najua hapo hakuna kitu imebaki
Usifanye niingia live nikushtaki
Pole bas, kam nikufunze kudance
[Pre-Chorus: Collo Blue]
Anzia kulia, kushoto nikalia
Tingiza tingiza ni kama unanitania
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingi- tingi- ti
[Chorus: Collo Blue]
Alafu bas nipe dance samawaah (ooh), samawaah
Dance mpaka waah (ooh), mpaka waah
Si udance samawaah (ooh), samawaah
Dance mpaka waah (ooh), mpaka waah
Juu (nyota), juu (nyota)
Hii ni lazima iende juu (mpaka waah)
Juu (nyota), juu (nyota)
Chunga usiibiwe nyota
[Refrain: Collo Blue]
Alinipea sikukataa
Na venye mi hukuwa superstar
Na wengi wao hutafuta chance
Namwambia lazima wajue kudance
[Pre-Chorus: Collo Blue]
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingiza tingiza ni kama unanitania
Unaianzia kulia, kushoto nikalia
Tingi- tingi- ti
[Outro: Collo Blue]
Alafu bas nipe dance samawaah (ooh), samawaah
