Lyrics > Ethic – Zama Lyrics

Ethic – Zama Lyrics

Ethic - Zama Lyrics
Screengrab, "Zama" by Ethic, YouTube.

Listen and read Ethic – Zama Lyrics on Doba KE.

Following their comeback track “Ukitaka,” Ethic returns with their second song of the year. Produced by Brim and directed by Frank Thee, Director, Rekles’ catchy hook will have the club’s banging.

“Zama” is a Swahili word that translates to “sink” or “dip.”

Read Ethic – Zama Lyrics

Eyo clamer!
This building

[SWAT, Rekles]

Mtu nako sikatai, mbona anitext bad manners?
Mbona nikatae kureply, na ananitext bad manners?

Wakiuliza nini mi hufanya mi hujitepa
Any day mi nina maganji mi hujitepa
Sa mbona nikudanganye joh
Ka niko na kajina visirani—

[Chorus: Rekles]

Shidangu ni ka niko paper, na sina kitu ya kufanya
Mi hujichocha alafu naingia bar
Naingia bar na kujitepa, zikishuka zinapanda
Balance bana ndio ina-misbehave, nikicheki—

[Verse 1: Seska]

Mmh aah, mamu
Usiniite ndu—, ndugu
Niite shitupu, puru
Nilishe tu kitam sa-sambu

Maskan’ kwangu
Ka uko karibu come kwa mguu
Niiite GSU tu rungu
Nimeivisha move ya sansu

[Chorus: Rekles]

Shidangu ni ka niko paper, na sina kitu ya kufanya
Mi hujichocha alafu naingia bar
Naingia bar na kujitepa, zikishuka zinapanda
Balance bana ndio ina-misbehave

[Post-Chorus: Rekles]

Nikicheki mmh aah, mmh aah, thao bana imezama
Mmmh aah, thao bana imedip
Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imezama
Mmmh aah, thao kumi bana imedip

[Verse 2: Zilla]

Bado si wifey, na maisha ashanipangia
Na bado kanaplan vile tu katanizalia
Nifanye nini na vile ni ka pretty pretty
Nikifika mtaa kanakuwa kashanivulia

Kunipikia na cladi kunianulia
Ata ma-genge nakwambia kananiimbia
Si ni ka jackpot nakwambia nimeangukia
Haka hamnigongei itabidi nimeshikilia

Si kila saa anataka kunikaribia
Na si ni sharp pia anataka kunipandisia
Figure imeweza nakwambia akiinama
Kanapenda God mi nakwambia kamebarikiwa

[Pre-Chorus: Rekles]

Aya, wakiuliza nini mi hufanya, mi hujitepa
Any day mi nina maganji ni kujitepa
Sa mbona nikudanganye bro
Ka niko na ganji na mi silali

[Chorus: Rekles]

Shidangu ni ka niko paper, na sina kitu ya kufanya
Mi hujichocha alafu naingia bar
Naingia bar na kujitepa, zikishuka zinapanda
Balance bana ndio ina-misbehave

[Post-Chorus: Rekles]

Nikicheki mmh aah, mmh aah, thao bana imezama
Mmmh aah, thao bana imedip
Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imezama
Mmmh aah, thao kumi bana imedip

[Verse 3: SWAT]

Navuta ngwai na niko kando ya kanisa
Meno ni mingi kuliko Fuliza limit
Leo nakata chingi nabanjuka na machupa
Sitaki mtu leo mtu wangu aluta

Pass the fork leo ni kaveve na gunga
Hatuko Runda lakini zimetaruka
The only thing privacy nyap ni kidney
Nanukia jasho nikisaka za marashi

[Chorus: Rekles]

Shidangu ni ka niko paper, na sina kitu ya kufanya
Mi hujichocha alafu naingia bar
Naingia bar na kujitepa, zikishuka zinapanda
Balance bana ndio ina-misbehave

[Post-Chorus: Rekles]

Nikicheki mmh aah, mmh aah, thao bana imezama
Mmmh aah, thao bana imedip
Mmmh aah, mmh ahh, thao kumi bana imezama
Mmmh aah, thao kumi bana imedip

[Outro: SWAT]

Mtu nako sikatai, mbona anitext bad manners?
Mbona nikatae kureply, na ananitext bad manners?
Mtu nako sikatai, mbona anitext bad manners?
Mbona nikatae kureply, na ananitext bad manners?

Ethic Entertainment – Zama

Produced by: Brim

Video directed by: Frank Thee Director

Did you enjoy Ethic’s “Zama” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts