Exray Taniua – Jibambez Lyrics Ft. Ndovu Kuu & Mejja
Listen and read Exray Taniua – Jibambez Lyrics Ft. Ndovu Kuu & Mejja on Doba KE.
The dynamic trio of Exray Taniua, Ndovu Kuu and Mejja link up once again on “Jibambez.” This song follows “Usherati” which they released in 2021.
Read Exray Taniua – Jibambez Lyrics Ft. Ndovu Kuu & Mejja
[Intro]
Black Market Records
Taniua
[Pre-Chorus: Exray Taniua]
Many people can come na bado wengi wata-go
Hadi wale hupenda tam tam, wenye madoh
Pesa sabuni ya roho mwambie nafuata goals
Ule wa roho mwambie napenda raw
Sadafah
[Chorus: Exray Taniua]
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
[Verse 1: Exray Taniua]
Store flani, stock money
Spend money make money, na ?? bunny
Ukiboeka kuja area, tutulie ndani
Si zimeshika kama area, tuko mbali
Aki Mary Mary Mary go round
Huskii bado niko nyuma yako, still no skank
Hadi akili imehang nilikuwa still kwa plan
Tell me what a gwan, niko juu ya miraa
Nastop enda sana Bangkok
Ka umechoka kuniona unaeza change angle
Uncle, utanipenda by force
Unaonanga nikigrind alafu unadhani jokes
[Pre-Chorus: Exray Taniua]
Many people can come na bado wengi wata-go
Hadi wale hupenda tam tam, wenye madoh
Pesa sabuni ya roho mwambie nafuata goals
Ule wa roho mwambie napenda raw
[Chorus: Exray Taniua]
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
[Verse 2: Ndovu Kuu]
Nataka hawa na wale, na pia kale
Na ulete beer sponyo hakatangi makali
Side chick ni valee, ni wa Kitale
Tulijengana saa hii anaishi geti kali
Future, nyi bado mko last year
Na Ndovu ni Kuu na hivo bado ndo mi naskia
Ati pesa ni nyingi ka ujinga ya Salasya
Buroti maguta, andú a nyúmba kú hanatÃa?
Mi-mi mi huwabadilisha kama dicla
Lazima nifiche white si machupa ni za kibla
Kuchimba sijawai labda dem yako areply
He-he-he (elephant trumpet), imekupita kama housefly
Aki walai!
[Pre-Chorus: Exray Taniua]
Many people can come na bado wengi wata-go
Hadi wale hupenda tam tam, wenye madoh
Pesa sabuni ya roho mwambie nafuata goals
Ule wa roho mwambie napenda raw
[Chorus: Exray Taniua]
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
[Verse 3: Mejja]
Nilimshow mi naumwa na kichwa
Akaniambia “Niko na dawa ya kichwa”
Akafunga pony tail, akacheza na lips
Nikaacha kuumwa na kichwa
Huu manzi ako na skill
Ako ndethe na heels, she’s a freak for real
Ah very nice, ni kama ananidai
Amewacha ngotha kwangu
Kanamark territory, ah, hata earrings
Nimepata ndani ya gari
Kanamark territory, ah, a very nice
Chali yake mi naslice
[Pre-Chorus: Exray Taniua]
Many people can come na bado wengi wata-go
Hadi wale hupenda tam tam, wenye madoh
Sa-sabuni ya roho mwambie nafuata goals
Ule wa roho mwambie napenda raw
[Chorus: Exray Taniua]
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, tukijibambez
Hapa na pale, hapa na pale
Hapa na pale, nikijibambez
[Outro]
Many people can come na bado wengi wata-go
Hadi wale hupenda tam tam, wenye madoh
Pesa sabuni ya roho mwambie nafuata goals
Na ule wa roho mwambie napenda raw
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
