Lyrics > FEMI ONE – B.A Lyrics

FEMI ONE – B.A Lyrics

FEMI ONE
FEMI ONE - B.A

Listen and read FEMI ONE – B.A Lyrics on Doba KE. Femi One switches from her usual hardcore rap sound to a calm demeanour. “B.A” is a party song about going to the club and having a good time.

“B.A,” a variation of “bie,” is a sheng term that means “I’m good.” In the song’s context, tuko b.a means “We are good.”

Read FEMI ONE – B.A Lyrics

It’s Jegede on the beat

[Pre-Chorus]

Kama unapenda kuparty tupatane basi tukaburudike
Kunywa na usakate densi ukilewa sana usisumbue DJ
Naona makali kwa display, ugali nyama kwa system
Kumejaa ndani na nje, Tuko B.A, tuko B.A

[Chorus]

Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A

[Verse 1]

Mwili inadai shayo na sha-shamra shamra
Kama foundation ni weak hio ni blunder
Pesa ndo pamba hakuna drip hapa
Tunaifanya vi-random, hivo ndo si huwaka

So nawasha lighter inaset mood
Tunaisunda kwa biker isilete nuks
Fumes zinachoker ukivuta pumz
Zinashika tukicheka tukipiga gumzo, yeah

Time of my life ndo hii na-have hapa
Control meza na kadi chukua password
Hii ni para sio para hii ni lifestyle
High table filthy vile naichafua

[Pre-Chorus]

Kama unapenda kuparty tupatane basi tukaburudike
Kunywa na usakate densi ukilewa sana usisumbue DJ
Naona makali kwa display, ugali nyama kwa system
Kumejaa ndani na nje, Tuko B.A, tuko B.A

[Chorus]

Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A

[Verse 2]

Macho inanishow taste before nitaste
So nataste my taste before it’s late
Ka nataste vibest chipo ndio fate
So kushikanishwa kwa kitanda ni worth the wait

Ako near so ni dear namkeep close
Ka hanipei ni mia kwa mia nampea pause
Rubber kwa purse napant akinipapasa
Vile naskia aki walai siwezi nyamaza

Wueh, wingu la tisa ndio ananifikisha
Foreplay ni moss moss ngoma ya E-Sir
Kwa backseat ya taxi ndio dhambi naficha
Machupa zikilala zingine tunaagiza

[Pre-Chorus]

Kama unapenda kuparty tupatane basi tukaburudike
Kunywa an usakate densi ukilewa sana usisumbue DJ
Naona makali kwa display, ugali nyama kwa system
Kumejaa ndani na nje, tuko B.A, tuko B.A

[Chorus]

Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A
Tuko B.A, tuko B.A

Madam Femi One
Papa Fred Ngamwaya

YouTube player
FEMI ONE – B.A

Produced by: Jegede

Video directed by: Steve Mugo


Did you enjoy Femi One’s “B.A” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts