Lyrics > Femi One – Memories Lyrics Ft. Boutross

Femi One – Memories Lyrics Ft. Boutross

Femi One - Memories Lyrics Ft. Boutross
Boutross and Femi One

Listen and read Femi One – Memories Lyrics Ft. Boutross on Doba KE.

“Memories” marks the first collaboration between Kaka Empire’s Femi One and Shrap God Boutross.

Over the infectious instrumental by Desmond $ire Bosire and Micrule, the two easily ride the beat, rapping about “memories.”

Read Femi One – Memories Lyrics Ft. Boutross

[Intro: Boutross]

Yeah yeah, yeah yeah
Woo woo, woo woo
Yeah yeah, yeah yeah
Ay yoh
Ay

[Verse 1: Boutross]

Nakuvuta vile fiend huvuta embassy juu
Zimemshika na mangwelo ni za ma-kerosene tu
So patient boo, nikuonyeshe si huduu
Ni ma-memories tu, ni ma-memories juu

Napenda deskie wanafanya naingia Racecourse
Najipata Best Weston nakaa mbogi ya escorts
Tangu itrend, nililearn hii lesson
We’ at (@) story but usiwai nimention

[Chorus: Boutross, Femi One]

Juu ni ma memories tu, ni ma memories juu
Kula mahari, rental mpaka na pension
Ni ma memories tu, ni ma memories juu
Juu ya nduthi ama ndani kwa Benzo

[Refrain: Boutross]

Hapa niko na Femi Uno (Ehee)
Hapa niko na friends mutual
From way back when, from way back then
Hapa naanza ah ah

[Verse 2: Femi One]

Zinakanashi niko zabe na wathii
Lighter ndio imethela so na hotbox kwa machine
Shot ya gin spirits zinanionyesha majin’
Location private, jitume ndio nitume pin

Kula raha kunywa tembo for digestion
Wacha man atupe lugha apunguze tension
Ka ni sip ni jas ndio atamunch
Ka ni bad boy atadishi fiti

Mida ya lunch, kila kitu iko present table manners ndio absent
Zangu ziki-accend, nabidilisha accent
Like “this a house mother —-“
Full back, counter imeshona ka nonsense, ni Monday

[Chorus: Boutross, Femi One]

Juu ni ma memories tu, ni ma memories juu
Kula mahari, rental mpaka na pension
Ni ma memories tu, ni ma memories juu
Juu ya nduthi ama ndani kwa Benzo

[Verse 3: Boutross, Femi One]

Soft life imenipiga hattrick
Kwa hizo affairs naingia ki Buju Banton
Iwe real, ikuwe plastic
Bora ukinicheki we kula na macho, ay

Kula na macho, ukibonga fiti unaeza kula na tako
Ni buto mitandao na Femi
We ni rafiki, adui ama Frenemy
Juu ya memories unabaki na deni

Juu ya memories naongeza deni kwa deni
Aura for aura ama mapenny kwa penny
Hunipati mimi nikiketi na wengi

[Chorus: Boutross, Femi One]

Juu ni ma memories tu, ni ma memories juu
Kula mahari, rental mpaka na pension
Ni ma memories tu, ni ma memories juu
Juu ya nduthi ama ndani kwa Benzo

Juu ni ma memories tu, ni mam emories juu
Kula mahari, rental mpaka na pension
Ni ma memories tu, ni ma memories juu
Juu ya nduthi ama ndani kwa Benzo

YouTube player
FEMI ONE – MEMORIES FEAT BOUTROSS

Produced by: Desmond $ire Bosire and Micrule

Video directed by: Steve Mugo

Stylist: Aziza

Record Label: Kaka Empire


Did you enjoy Femi One featuring Boutross’ “Memories” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts