Lyrics > Johnny Vigeti – Broski Lyrics Ft. Elisha Elai

Johnny Vigeti – Broski Lyrics Ft. Elisha Elai

Johnny Vigeti - Broski ft. Elisha Elai
Scene from "Broski" music video

Listen and read Johnny Vigeti – Broski Lyrics Ft. Elisha Elai on Doba KE. On “Broski,” Johnny Vigeti and Elisha Elai trade bars about the crime dealings in the ghetto.

The song is produced by Viktor Ax and Ken Ring and directed by Ondivow Photography.

Read Johnny Vigeti – Broski Lyrics Ft. Elisha Elai

[Chorus: Elisha Elai]

Broski, hizi sides ushaiskia ni nani ametuzidi kwa kilo? (ati!)
Pull up one man na kindeng’a, kinena, wakahepea kwa diro (walai)
Magwangi madingo (uh), wametubandika hizi pande gwangi madingo (au sio?)
Magwangi madingo (uh), inakuwanga ni ma “Bang Bang” tukifika kwa scene joh (true)

Magwangi madingo (uh), inakuwanga ni ma “Bang Bang” tukifika kwa scene joh

Hio ni kawaida manze ni mabreki zimepigwa hapo
Alafu tukiendeleaga, ndio hio, uh

[Verse 1: Johnny Vigeti]

Wote wamepull up na mamotii, kina Don Brooks ni mabossy
Waiter tumalize na matoti (kweli), sshh, tunatoasti
Ganja zimesundwa kwenye soksi, madenge kina atoti
Sophie, na Njoki, watapigwa tu manjoti

Ukileta mambo toxic, ni Mike Tyson tu ma boxing
Broski, of course ni, ngumu kunipata niko off-key
Opposite ya msoftie, watoto wanataka msosi
Mainformer wamebeba walkie talkie, chunga nini unasema kwenye topic

[Chorus: Elisha Elai]

Broski, hizi sides ushaiskia ni nani ametuzidi kwa kilo? (ati!)
Pull up one man na kindeng’a, kinena, wakahepea kwa diro (walai)
Magwangi madingo (uh), wametubandika hizi pande gwangi madingo (au sio?)
Magwangi madingo (uh), inakuwanga ni ma “Bang Bang” tukifika kwa scene joh (true)

Broski, hizi sides ushaiskia ni nani ametuzidi kwa kilo? (ati!)
Pull up one man na kindeng’a, kinena, wakahepea kwa diro (walai)
Magwangi madingo (uh), wametubandika hizi pande gwangi madingo (au sio?)
Magwangi madingo (uh), inakuwanga ni ma “Bang Bang” tukifika kwa scene joh

[Verse 2: Johnny Vigeti & Elisha Elai]

The last time ulifika mitaani, we nipe tu riba ni gani
Magwangi wakipita mitaani inabidi unashinda kejani
Usiulize hata feeback jirani

Kweli, riba ni noma kwanza vile siku hizi watiaji wanachoma
Mambleina inabidi wahepe wakiniona, juu kila saa tukipatana ni kunisoma
Juzi zuzi kwa corner, ma “pa! pa!” niliwanyabishia matoka
Sadaka ilibidi joh kutoka, ju mafala ni kama waliokoka

Yo Elisha Elai, kuna vitu hunikasirisha walai
Watu wanachoma picha maguy na vako zimepitwa na time
Usije ukashikwa na crime, maboy walizamishwa na ngwai
Na hata hawakuitishwa hata fine, kweli

Kweli, kudadadeki my guy
Street imekuwanga na makesi walai
Hessy juzi amerusha Mose kwa ndai
Na mpaka sasa haonekani no lie

Magwangi madingo, mambo haikuwangi hata simple
Mi mitaa itanikill bro, meditate na Tusker naisip slow
Mbaya mbaya mpaka 6 feet bro
Mi najua we unaifeel woah!

Nakufeel more, they already know
Nani gwangi nani dingo mi sibongi mob
Uh, wakituona tukutip-toe
Wanahepa wanagwaya pande zote zone

[Chorus: Elisha Elai]

Broski, hizi sides ushaiskia ni nani ametuzidi kwa kilo? (ati!)
Pull up one man na kindeng’a, kinena, wakahepea kwa diro (walai)
Magwangi madingo (uh), wametubandika hizi pande gwangi madingo (au sio?)
Magwangi madingo (uh), inakuwanga ni ma “Bang Bang” tukifika kwa scene joh (true)

Broski, hizi sides ushaiskia ni nani ametuzidi kwa kilo? (ati!)
Pull up one man na kindeng’a, kinena, wakahepea kwa diro (walai)
Magwangi madingo (uh), wametubandika hizi pande gwangi madingo (au sio?)
Magwangi madingo (uh), inakuwanga ni ma “Bang Bang” tukifika kwa scene joh

Johnny Vigeti feat. Elisha Elai – Broski

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts