Lyrics > Kaa La Moto – Chachisha Lyrics Ft. Boutross

Kaa La Moto – Chachisha Lyrics Ft. Boutross

Kaa La Moto, Boutross - Chachisha
Kaa La Moto, Boutross - Chachisha

Listen and read Kaa La Moto – Chachisha Lyrics Ft. Boutross on Doba KE.

Kaa La Moto links up with the Shrap god for their second collaboration of the year following “Nakam” with Ssaru in January.

Read Kaa La Moto – Chachisha Lyrics Ft. Boutross

[Intro]

Toto si toto umeiva
Simple ni mfreshi barida
Sisemi visanga umeshinda
But, kuna venye babe unachachisha, ay

[Verse 1: Boutross]

Wanakula na macho from a distance
Mi naingia coast nakula Easter, ay
Ngeus too hot for assistance
So, coal ikiwa moto washa sheesha, ay

Waonyeshe mara ya pili sio kismat
Waonyeshe vile haga ina victims
Some been taken hadi rehab, ay
Kumbe we ndo ulikuwa the addiction, ay

This fine girl ako na wisdom
Nilidhani ye’ ni wa kanisa, ay
Alinipea gift bila reason
Bouty nilipatiwa permission, ay

This fine girl anani-tiptop
How do I say ananimaliza?
Alinipea a kiss bila reason, ay
Bouty nilipatiwa a mission

[Chorus: Boutross]

Toto si toto umeiva
Simple ni mfreshi barida
Sisemi visanga umeshinda
But, kuna venye babe unachachisha, ay

Toto si toto umeiva
Simple ni mfreshi barida
Sisemi visanga umeshinda
But, kuna venye babe unachachisha

[Verse 2: Kaa La Moto]

Naingia club hivi na watu wako busy
Na sisi ni ma-gangster, eazy eaazy
Tumejihami na ma-CD
Kavu kavu hakuna kuna STD

Totos ni ma VIP
Mi nina madem mpaka D.I.E
Sio DRC, sipaki mCongo
Hii ni MIC, napokea hongo

Tuko high kama nmenusia mondo
Nusa perfume hatunukii shombo
Watu wako buya wananukia gongo
Napata dem nampea Kiswahili ka niko Bongo

Hey shawry umeiva, nadai kukupakua
Naona umekua, naskia kukusumbua
Twende tour, uone dunia
Njoo uchukue picha mitandaoni watakujua

Mi ndio teacher, nitakuchapa
Una homework hujamaliza fanya haraka
Mi ndio pastor, nipe sadaka
Kuna misa ya kukesha nina offer ka unataka

[Chorus: Boutross]

Toto si toto umeiva
Simple ni mfreshi barida
Sisemi visanga umeshinda
But, kuna venye babe unachachisha, ay

Toto si toto umeiva
Simple ni mfreshi barida
Sisemi visanga umeshinda
But, kuna venye babe unachachisha, ay

[Outro]

Kuna venye babe unachachisha, ay
Kuna venye babe unachachisha, ay
Toto si toto, toto—
Kuna venye babe unachachisha, ay
Toto si toto
Kuna venye babe unachachisha

YouTube player
Kaa La Moto Ft. Boutross – Chachisha

Produced by: GrandmasterTek

Video directed by: King Khassidy


Did you enjoy Kaa La Moto featuring Boutross’ “Chachisha” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts