Kendi Kiremi – Mashini REMIX Lyrics
Listen and read Kendi Kiremi – Mashini REMIX Lyrics Ft. Timmy Tdat, Trio Mio, Scar Mkadinali, Ziza Bafana & Fathermoh on Doba KE.
The star-studded “Mashini Remix” is Kendi’s first song of the year. The original version, which featured Fathermoh, was released in November 2023.
Read Kendi Kiremi – Mashini REMIX Lyrics Ft. Timmy Tdat, Trio Mio, Scar, Ziza Bafana & Fathermoh
(Badness)
Kukatana nililearn before alphabetical
Turn up
Call me Kendi
Kasabun
Hey ya
[Verse 1: Timmy Tdat]
Kukatana nililearn before nilearn alphabetic
Na kataanga zote ni mbaya, mathematical
Eti zao ni kubonga ni wabaya, theoritical
Na nikipiga hii story iko rhetorical, cynical
Timmy Tdat, what is in the place
Wanasema ni wabad na hata hawako kwenye place
Nipe verse kwenye space, ita Jess nina pace
Ulimi zao mbaya bana wanaasha taste
Yes mi ni bad man but good kwenye bed
Ouma mi ni mshort but tall in a way
Kwa game mi ni champion, home and away
Ready when you’re ready girl, just say
Mi ndo hukata poko mpaka ananiita baby
Nakata lesbian kanaturn straight
Huko TZ eh, ex anadiget
Wacha akae bench saa hii ni Kendi ndio anakula my ma-ma-ma-ma-ma
[Chorus: Kendi Kiremi & Timmy Tdat]
Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Dongi what you need, jua gagini, nang’o gajini
Mashini banana
Dongi what you need, jua gagini, harakau nagini
Machini banana
[Post-Chorus: Fathermoh & Kendi Kiremi]
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
[Verse 2: Trio Mio]
Yoh, uh, nalima shamba na, jembe kubwa
Nachimba napanda mnyama unajuanga mashini banana
Na nikizama una (Badness), piga nduru
Jirani waskie natawala njuang’a vile inacharaza
Mashini mbizi, mashini banana
Na si ni bigi, inzagi kwa msambwata
Huwanga nikigonga kanatetemesha magaha
Ka huniitaga Wanyama sababu dini mbadada
Jaba na kairetu tuna-systemize
Face card ni proportion ya the lips and eyes
Listenwise matako ndio inainterest I
Niko na ndizi inaeza rearrange your intestines
[Chorus: Kendi Kiremi & Fathermoh]
Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
[Verse 3: Kendi Kiremi]
Kwangu ye ni boss, and I don’t care
Vile nyi hubonga yeah I dont care
Ye’ tu, nampenda tu
Whine up non-stop nafinya na mafeelingsi
Oh Lord have mercy mercy mercy
Nimependa nachizi chizi chizi
Hey, ati for my ex I’ll never be a slave
Anything for my king shika Bimmer
Na na na na na
Na na na na
You feel me?
[Chorus: Kendi Kiremi & Fathermoh]
Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
[Verse 4: Ziza Bafana]
[Chorus: Kendi Kiremi & Fathermoh]
Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Mashini Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
Ulisema huniachi nini, unantaka nini, juu ya hii
Mashini banana
[Verse 5: Scar]
Mi hata sikunoki huyo sister
I swear ye mwenyewe ndio alijipa
Je ulimpa bibi yako mimba?
Ama ye mwenyewe ndio aliishika
Msupa wako, anakuita babe
Kimakosa ni wochi anaitika
Niliona vizuri hizo flag red
But mi ni nani bado nilimskiza
Ukiwa na Scar-zo we jua ni scandal
Nirigo santo gidwani ya sample
Black ka charcoal, white hapo
Monday ni Sato, na Sato ni hustle
Kyela ananifeelia mafeelo
Ati Scar nakufikiria kwa pillow
Last time alinitumia kakiru
Juu niliichapa akaiskilia kwa tumbo
Kyela ananifeelia mafeelo
Ati Scar nakufikiria kwa pillow
Last time alinitumia kakiru
Juu niliichapa akaiskilia kwa tumbo
[Outro: Timmy Tdat & Kendi Kiremi]
Dongi what you need, jua gagini
Nang’o gajini
Mashini banana
Dongi what you need, jua gagini
Harakau nagini
Machini banana
Produced by: Hamado hot beats & Vic west
Video directed by: Jijo Drumbeats
Did you enjoy Kendi Kiremi’s “Mashini REMIX” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

