Lyrics > Khaligraph Jones – Confused Lyrics

Khaligraph Jones – Confused Lyrics

Khaligraph Jones - Confused Lyrics

Listen and read Khaligraph Jones – Confused Lyrics on Doba KE.

In “Confused,” Khaligraph Jones addresses recent controversies and public debates in Kenya.

He takes playful jabs at Sabato, Toxic Lyrikali, and more, while reflecting on celeb culture, hypocrisy, criticism, and the noise of cancel culture.

Read Khaligraph Jones – Confused Lyrics

[Verse 1]

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Mmeshindwa kudecide nini mnataka
Mnasema celebs wanapenda uongo
Na nyi ndio hukimbia kununua hizo kata

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Sijai understand ile wave nyi hufuata
Wakishawachosha mnaanza kuwacheka
Ati cheki nanii venye siku hizi amechapa

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Mkisema stay humble nipunguze kiburi
But as soon as I act all friendly
Mnasema sijui kujipackage vizuri

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Mkisema Kasongo wantam kila place
But tukikutana kwa ma-private functions
Slogan inakuwa tena kumi bila break

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Mkisema wasanii wasikule doh ya gava
What about teachers and doctors
Salary yao hutoka wapi? tucheze undercover

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
How you wanna act like you don’t take sides
Acting all neutral but towards elections
Everybody knows you gon’ lean to your tribe

[Bridge]

Mnaniconfuse
I’m in K.U guys make a decision already
Juu ni ka hamjui ni nini mnataka
Mnaniconfuse, mnaniconfuse, mnaniconfuse, mnanico— ai

[Verse 2]

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Hii tu ni honest concern msinipige
Mbona ile attention mnapea Alicia Kanini
Msipatie Crystal Asige?

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
We all know ni juu mnapenda ikus
Moral police chini ya maji ye’ ni pervert
Hata akideny mehn we all know the truth

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Vile failed artist anageuka critic
I love the advice lakini mbona we hukutumia ndio umake it my bro
What a pity

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Na hizo double standards zimejaa mneti
Tupatie udaku ya bills ziko pending kwa senate
Hatutaki kujua who’s Betty dating

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Vile online mnashine na wanisa
But kwa grao nayo vitu ni different
Juu mkikutana mnapigania picha

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
And you know what these little things do
Mnanichanganya na hii story ya forex
Ati saa hii forex imekuwa sim 2

Mnaniconfuse (he-he-he)
Maneno haya jiji si mageni
You can go ahead and call a brother fat
But don’t call a lady big itaitwa body shaming

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
When you say “I don’t like guys from the ghetto”
Na vile uko invested kwa every single detail
Ya hio collabo ya Dee na Patelo

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Ukisema “OG ataniibia nyota”
But we all know you ain’t got nothing on your name
Uko njaa na umebeat na umesota

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Hizi excuse I swear zi hunichosha
Hio ni nyota gani utaibiwa, you a lazy ass punk
Hebu simama uende upige mboka

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
When you got my money and you don’t pay back
Then nakuona Al Fakher ka umechafua meza
Umekamata diva ako na nyash

Mnaniconfuse (mnaniconfuse)
Vile mnapea hawa macriminal pass
Then you ignore a good dude
Alafu kikikuramba unasema all men are trash

[Outro]

Mnaniconfuse, ai, mnaniconfuse
Mi hata sijui, mnaniconfuse
Mnaniconfuse, ai, kwenda!

Mnaniconfuse, mnaniconfuse

YouTube player
Khaligraph Jones – Confused

Video directed by: Steve Mugo


Did you enjoy Khaligraph Jones’ “Confused” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts