KING KAKA – CROOZIN LYRICS FT. SCAR MKADINALI
Listen and read KING KAKA – CROOZIN LYRICS FT. SCAR MKADINALI on Doba KE.
“Croozin” is a feel-good anthem that finds King Kaka and Scar Mkadinali celebrating their wins.
Read KING KAKA – CROOZIN LYRICS FT. SCAR MKADINALI
Big shout out to Vinc on the Beat by the way
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
[Verse 1: Scar Mkadinali]
Uh, naendesha crown toka 110
Nilidouble maganji za managerr
Madem hawanioni ka ong’err
Wakaniona wanadai ng’ani lerr
Uh, ukiwa na pesa unajicompose
Wanajua nimefika ju marashi ni ya Tom Ford
Still Gangsta, Rong Rende na iko on toes
Niko mavitu flani white toka coasto
Kwa ma-G mi ni G, kwa bitch mi ni Daddy
Dem yangu kienyeji nilimgeuza baddie
Uh, na hii dream mi si-wake up
Nalipa msupa ndio asiwai toa make up
Uh, hadi mokoro huwanga stubborn
Ati hapandi nduthi ati ye’ ni mama Scarzo
Tuko croozin na mkuzi
Mrenga pyamu, na ya zamani bado siuzi
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
[Verse 2: King Kaka]
Pesa tunakula ni me na my amigos
Na-carry nyamus ka Samidos
Wacha waseme nina maringo
Uliza Jeri niliishi maringo
Shine kama meno za Wizzo Tano Nane
Ukileta zako zile za izo kaumane
Na watoto wangu sio wa-simple ni thao nane
Elbow iko nje ya window na maubani
Saii story zetu kwa ma USB
Me and my G’s ni ma USD
Mchana ni kibanda usiku ni Kempinski
Na usikam mtaa yetu aisee ni kurisky
Butler ni mwhite kama njumu zangu
Ukiuliza siri gani mi na Mungu wangu
Croozin’ kwa mashini tuko scenic gani
Oh, by the way, fuck sirikali
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Produced by: Vinc on the Beat
Directed by: Eyan Mwaura
Did you enjoy KING KAKA FEATURING SCAR MKADINALI’S “CROOZIN” LYRICS? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
