Lyrics > Kitu Sewer – Ka mchele Lyrics

Kitu Sewer – Ka mchele Lyrics

Kitu Sewer - Ka mchele Lyrics
Ka mchele

Listen and read Kitu Sewer – Ka mchele Lyrics on Doba KE. In “Ka mchele,” Kitu Sewer narrates the story of a friend who died after his drink was spiked at a bar.

“Mchele” is sheng for prescription drugs such as Rohypnol, used to treat amnesia and are often peddled at entertainment joints.

“Ka mchele” is the fourth song on Makali Man.

Read Kitu Sewer – Ka mchele Lyrics

[Verse]

Ingia kwa local joint, kutoa ‘rocko’ (lock)
Kumbe nina deni, deni ni ahadi kutoka kwa Shiko
Saa hio ako na madrunkards na ma addict wa D5
Ati “hey, mnajuanga huyu ni artist?”

Ingia kwa Guiness book world of records juu ya kukopa Guiness
Si hukunywanga supu ya metal joh wachana na sisi
Wasee hawatambui hata ithaa ya curfew
Saa tisa knock knock kwa Mary

“Niaje, ati rada chafu”
Wanadai eh heh, Kitu Sewer unajua hii kitu inakuwanga kwa perfume
Na hadi kwa miracle
Beshte yangu ashaanza kuzushiana

Ati unateta mi ni kalewa na mtoi wako ako drugs
Plus wife yako na sponyo wanapewa
Plus ni paper tu za divorce hajasign, washaanza fist fight
Na kurushiana maneno na mangumi, plus na machupa zifly

Ikabidi nimeona hii story imeenda way out of line
Waiter tupee round ingine
Kwa hio ngori ilibidi nihamie county ingine, juu ya ile ngori
Arif yangu alikuwa ametoka Saudi, nikupee hio story

Alidai naenda loo na hakurudi, end of story
Security, security we have a problem
Somebody is sleeping in the toilet
One hour earlier alimake another terrible mistake

Hio ni abbreviation ya ATM kwa wale hawajaiget
Kata maji bila maji na kitu ya ku-digest
Na ako na msupa saa hii huskii arif anadai guest
Nikamshow chill, akanishow “ah ah” vile ako dry spell

Na ako na float na atadai mpaka cab
Si hao tushaondokea pub doko ashadai kuna ka-nearby tuitishe ka nyam chom
Na tumbwegeze tubaridi twa kumatch
Kumbe Rach ameendea toko na macredit cards na wamemspike

Mi nko backseat kwenye ma Fat Joe ma Busta Rhymes
Si tukaingia mahali tuko saa hii at the present time
Arif alitusare kwa table hire room piga cable
Githurai Kevo watajuaje ako na Cain (kane) na ako Abel (able)

Huskii, hivo ndo tulimuokota, akiwa kwa toile
Alafu, masanse wakaitwa
Si tukaondokea kesi nikahama county

[Outro: News Bulletin]

On today’s news, a man was found dead at the bathroom of a local pub. The man’s drink apparently was spiked by the popular drug mchele. Police boss says further investigation will be carried out.

On other news, popular local artist Mkali Man has released his long-anticipated mixtape.

YouTube player
Kitu Sewer – Ka mchele

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts