Kitu Sewer – Makali Man Lyrics
Listen and read Kitu Sewer – Makali Man Lyrics on Doba KE. The title track was teased as the album‘s lead single.
Read Kitu Sewer – Makali Man Lyrics
Hidden vibes
[Verse 1]
So illicit zimehit kwa mtaa yenu, ka Yesu au GSU
Wataiget hata ka wako pechu
Heri wahang nangos na ndechu
Washa Sambuca zima cigar
Kwani unataka kutuunguza
Ka yule vaite aliburn kwa duka
Oh sorry vaite sa ndo nimekumbuka
Sitambui rituals, ati mababu wameitisha
So and so amengia kwa bar na miwa
Soon as I entered the club I’m hearing oochie screaming
Sewer ni chang’aa na ni triple distilled ha!
Ni ka coke hawaezi lala bila, society hadi inalalamika
Lawyer wetu kuna kesi ameshinda
Na mafisi wanajua amekaivisha
Ati nitoe lock, ng’oa mlango kabisa
Labels ka KEBS kwa tool fake
Kibao mpaka maquarter za mbao
Na wengine ambao siezi taja majina wako maduya
Si tuko Kitale mapuya origi na wazee wa kijiji
Tukidiscuss tamaduni nje ya city
[Verse 2]
Hizi ni secondary needs
Usiwake ni ka uko primary please
Mi hukunywa East Africa Breweries
Soma warning, I have to drink responsibly
Ka hutaki ma accidents, suicides
Na pia ma STDs na maP2 na magun but za G3
Na ma-P3 hizo ni PE
Kata pingu na still behind bars
Kwa mawingu ukishuka na parachute
After kuflash, ka ile movie ya Deadpool
Bila kujua ni kwa wire ya stima ndio utaland
Napoleon ni ka mother aliwa Bonaparte (boo na party)
Juu ya meza usione vile mafisi zamwaga mate
Si nilikushow dynasty itadie vinasty
Monarchy inamourn ju udestiny ni fupi ka distini
Juu ya vile hao mabigfish wako kwa small pond na ni wastinji
[Chorus]
Kata mbele na nyuma ulimi kama msumeno
(Makali man ana makali)
Urefu wa makucha na makali ya meno
(Makali man ana makali)
Kata mbele na nyuma ulimi kama msumeno
(Makali man ana makali)
Urefu wa makucha na makali ya meno
(Makali man ana makali)
[Verse 3]
Vidole mbili kwenye koo ndio nitapike
Lakini hakuna kitu inatoka
Najaribu joh zishuke lakini hazishuki
Nikisema Lynn si Ngugi, nikisema neat si suti
Arif yangu ametupeleka 034 kwa ndege
Sa tuko kwenye local
Ndio hao manjege, wanadai 50 cents
Naziita hivo juu I’m all about the dollar na si shillings
Nawaita witchdoctors, juu wao huuzanga spirits
Wananishow zii, hii ni holy water
Hukumbuki Kitu Sewer we’ ndio the wizard
Kweli nadrown kwa hii deep state, sifikirii
Imagination zangu zinapepea ka vapour
Aladdin hii ni part ya global population reduction
Nyi’ ni ma lab rats
Ma-illicits wanadai test, waone reaction
Wacha hizo conspiracy
Mpira si mpira bila player
Juu utakuwaje na rehab bila masuperstar
Achana na mgema wa kupewa sifa
Au customer kuona giza
Ngoma ya mlevi only mwendawazimu ndo ye huskiza
(Only mwendawazimu ndo ye huskiza)
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
