Boutross – Intro Freestyle Lyrics
Listen and read Boutross – Intro Freestyle Lyrics on Doba KE.
“Intro Freestyle” is the first single off his upcoming album Mtindo.
Read Boutross – Intro Freestyle Lyrics
[Intro]
Yeah yeah
Woo yoh
Woo woo
Uh-huh
Yeah yeah
Yeah yeah
Uh
Woo yeah
[Verse]
Ilikuwa funny nilikuwa mtaani, nikiwa maji nikiwa manduku
Ati trending kwa Obare, uko ndethe uko chupri
Hizi ni gani, hizi ni gani joh ni fom hata hazinihusu
Na mi si upcoming so kibare kwa huyu kurutu
Ganji mi naitisha naskia show wanapea group
Passport ni ma Visa hawa mafala wanadai niskie uchungu
Vile hard kunireach so itabidi utumie Zoom
Mi nadai kuenda Ibiza na Aziza apewe chuma
Shut out Eldoret vile nilicome ilikuwa sugu
Show walikuja na mbogi baada ya hio show niliwaosha nusu
Vile huyo boy mskinny lakini huyo bouncer alipiga nduru
Walikuja na makuku baadaye hizo kuku niligeuza thufu
Hands down nionyeshe ni rapper mgani ananishinda hio luku
Buda najua uliomoka bado unaroga hizo story za ugumu
One thing mi najua, hardwork ndio hudumu
One thing for sure, uzembe ndio sumu
Fuck around upate uliamkia tu majuu
Fuck around upate uko Ethiopia mwaga prrr
Ka ni kuwa sober it is something I dont do
Wananiita rocky so rocky what it do?
Ukiskia Kawasaki ina-creep nigga move
Ukiona wako watatu then itabidi utoke hio mbuga
Something always happens something always bout to move
Kama we’ ndio target and there’s nothing you can do
Ukiskia Kawasaki ina-creep nigga move
Ukiona wako watatu itabidi utoke hio mbuga
Something always happens something always bout to move
Kama we ndio target and theres’ nothing you can do
Piga hio bean, ride iwe smooth
Blow off some steam nigga dont fuck up my mood
Big flex my team nigga, always the news
100K on the weekend and 100K for the shoes
[Outro]
Yeah yeah yeah
Woo woo
Something about it men
Shrap god
Shrap to life
Know what im sayin’
254 bitch
Produced by: Oriedo40
Video shot & edited by: Klasiken, Qwiss & Sobu
Did you enjoy Boutross’ “Intro Freestyle” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

