Lyrics > Maandy – Bubbly Bubbly (Na Niki) Lyrics

Maandy – Bubbly Bubbly (Na Niki) Lyrics

Maandy Dem Mauru EP Cover
Maandy Dem Mauru EP Cover

Listen and read Maandy – Bubbly Bubbly (Na Niki) Lyrics on Doba KE.

Off the Dem Mauru EP, “Bubbly Bubbly (Na Niki)” was a huge sensation on TikTok, with the “Bubbly Bubbly” challenge building traction for the song. The song garnered millions of views and, at the time of this writing, stands at over 2.2 million views on YouTube and counting.

The song falls under the Arbantone genre and features the instrumental from Jamaican dancehall artist Beenie Man’s 2007 hit “Back It Up.”

Read Maandy – Bubbly Bubbly (Na Niki) Lyrics

[Chorus]

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

[Verse 1]

Na nikikuita utaitika
Tusisumbuane juu hujafika
Na waiter show tunapima
Nje ya Molly’s na bado ‘zijashika (Bado)

Becky with the good hair, okay (Okay)
Kabaya big bum bum, oh hey (Oh hey)
Tuko jing tunacheza ma Lojay
Ukiwasha patia yule sanse

[Pre-Chorus]

Baby my lover, mapenzi undercover (Hush hush)
Na ye hu-wonder, kama kuna another (Ni true)
Jing tangu jana, sitemi sitawacha (No no)
Budget ndio blunder, so dishi kwa kibanda

[Chorus]

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

[Verse 2]

Mi hupendanga machali tu fulani ajangili
Ukichapa bare jamo iko bubbly bubbly
Zikishika utachizi na mangoma za Jabidi
Namuua na mastingo, andele andele

Boychild anadai nimpatie ka family
Kama Kabi na Milly, tutoi tuhappily
Mi si dem wa kusettle, ma dream si reality
Kula kitu hungry hungry

[Pre-Chorus]

My baby my lover, mapenzi undercover (Hush hush)
Na ye huwonder, kama kuna another (Ni true)
Jing tangu jana, sitemi sitawacha (No no)
Budget ndio blunder, so dishi kwa kibanda

[Chorus]

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

YouTube player
Maandy – Bubbly Bubbly (Na Niki)

Video directed by: Lynke Jr


Did you enjoy Maandy’s “Bubbly Bubbly (Na Niki)” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts