Maandy – Lele Lyrics
Listen and read Maandy – Lele Lyrics on Doba KE.
Off the Dem Mauru EP, “Lele” is an Arbantone song.
The instrumental, mixed and mastered by Metro Suka Doba, is from the “Sexy Lady Riddim,” which spawned Shaggy’s 2002 song “Hey Sexy Lady,” featuring Brian and Tony Gold.
Read Maandy – Lele Lyrics
Ah ah ah ah ah
Kabaya
Mmmh
[Chorus]
Cheki lele alinipigia tenje anataka nimsese
Anataka tu mbaibe
What a shame chali yake hushindanga stenje
Na kama ni msenge hakulangi kinembe
Si ni Kabaya, daktari wa madenge
Nawapea matembe natibu hadi kinenge
Ukipapasa, naeza chora seven
Mi ni lightweight ukitaka unibebe
[Verse 1]
Oh no, juu ma-DM zimejaa
Anita, Rebecca wanadai kuni-cuff
Wah! Kanairo sin city alaa
Hio ni BBL au natural ma—
I’m a peng shy girl long hair big bum
Pretty inna real life unaeza confirm
Wambo, napendwa na wajaka sana sana
Wale hulipa spa na waongeze za sauna
[Bridge]
Kuna pahali mi napelekwa na ni sahii
First-class touchdown Zanzibari
Mi hupiga biz kama waSomali
Ka hubongi ganji hunipatii
[Chorus]
Cheki lele alinipigia tenje anataka nimsese
Anataka tu mbaibe
What a shame chali yake hushindanga stenje
Na kama ni msenge hakulangi kinembe
Si ni Kabaya, daktari wa madenge
Nawapea matembe natibu hadi kinenge
Ukipapasa, naeza chora seven
Mi ni lightweight ukitaka unibebe
[Verse 2]
Vitu mi hu-do hao madem ‘waezi do
Waki-do basi ntawa-outdo times two
When I tell you i’mma kill it best believe I come through
Sickest in the game mi ndio flu achew
Hapo Nairobi Gossip mi ndio Prime Time News
Hizo vibes za upuzi ndio sidai mind you
Boss bitch, red hair new shoes
Bei mi ntafika siezi pick and choose
[Chorus]
Cheki lele alinipigia tenje anataka nimsese
Anataka tu mbaibe
What a shame chali yake hushindanga stenje
Na kama ni msenge hakulangi kinembe
Si ni Kabaya, daktari wa madenge
Nawapea matembe natibu hadi kinenge
Ukipapasa, naeza chora seven
Mi ni lightweight ukitaka unibebe
Instrumental: Sexy Lady Riddim
Did you enjoy Maandy’s “Lele” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

