Lyrics > Masterpiece King – Tululu Lyrics Ft. KGG & Scar Mkadinali

Masterpiece King – Tululu Lyrics Ft. KGG & Scar Mkadinali

Masterpiece King - Tululu Lyrics Ft. KGG & Scar Mkadinali

Listen and read Masterpiece King – Tululu Lyrics Ft. KGG & Scar Mkadinali on Doba KE.

After claims on “Mapacke” that he uses a ghostwriter, Masterpiece King collaborates with Scar Mkadinali and KGG. “Tululu” is slang for a non-smartphone device.

Read Masterpiece King – Tululu Lyrics Ft. KGG & Scar Mkadinali

KGG

[Chorus: KGG]

Sleeping on a Monday
Nilikuwa busy weekend
Sijui mbona wanapretend
Hawapendi tuki-happen

Kumbe wanatumezea mate
Shika bread si hu-share hii mkate
Shika shika share share
Shika shika share share

Kata kata hio kitu faster
Hizo lines hazitoshei kwa tululu
Kata kata hio kitu faster
Hizo lines hazitoshei kwa tululu

Shika shika share share
Shika shika share share

[Verse 1: KGG]

Tumekam prepared
Hatupandi matatu mi silipi fare
Nawaibia watoto wao mi ni Pastor Deya
Ukinitaja majira ting natokea

Nilikushow hawa wasee lazima watatuongelea
Niko deep end, ni ka mi naogelea
Niko na mtoi, sijui ka ni wangu ni ka nalea
Niko na shit, inasound ni ka mbolea (KGG)

[Chorus: KGG]

Sleeping on a Monday
Nilikuwa busy weekend
Sijui mbona wanapretend
Hawapendi tuki-happen

Kumbe wanatumezea mate
Shika bread si hu-share hii mkate
Shika shika share share
Shika shika share share

Kata kata hio kitu faster
Hizi lines hazitoshei kwa tululu
Kata kata hio kitu faster
Hizi lines hazitoshei kwa tululu

Shika shika share share
Shika shika share share

[Verse 2: Masterpiece King]

Ni ngumu mi kucomplain, juu ya vitu kichwa imecontain
Codeine ama cocaine, KGG huwezi compare
Unampenda na tunamshare, situmi fare I’m unfair
Utadedi I don’t care, jua kuna mali wanangojea

Master Master nawa-master faster
Mi ni rasta gangster, bado motherfucker
Ukinitafuta utanipata, natakanga wale waroro wananitaka
Ukinibamba unakula butter, ukijigamba unakula mbata

[Chorus: KGG]

Sleeping on a Monday
Nilikuwa busy weekend
Sijui mbona wanapretend
Hawapendi tuki-happen

Kumbe wanatumezea mate
Shika bread si hu-share hii mkate
Shika shika share share
Shika shika share share

Kata kata hio kitu faster
Hizi lines hazitoshei kwa tululu
Kata kata hio kitu faster
Hizi lines hazitoshei kwa tululu

Shika shika share share
Shika shika share share

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Naandikia mistari kwa smartphone
Hizi lines hazitoshei kwa tululu
Motherfucker tukikutana in person
Mbogi yako ndio itapiga manduru

Mrembo naeza kukuongeza matako
Lakini akili yako forever nugu
Midomo ni za bulu, ngeta ni za furu
Bora majioni, sembe na fulu

Hii rada mnaona ni yangu
Hii shada mnachoma ni yangu
We unaringanga na pesa za babako
Lakini mi babangu anaringanga na zangu

Piga wote wanafanya juu chini majuu
Siku hizi government inajua chenye na-do
Ukinishika na hii load niko na ki-kushite
Una-una-unajua lazima kita-burn tu (bantu)

Niko na macharjie wako ndakas
Na masnitch wadedi meza rat rat
I am not her daddy, she can’t come first (KGG)
Yeah, she can’t—

[Chorus: KGG]

Sleeping on a Monday
Nilikuwa busy weekend
Sijui mbona wanapretend
Hawapendi tuki-happen

Kumbe wanatumezea mate
Shika bread si hu-share hii mkate
Shika shika share share
Shika shika share share

Kata kata hio kitu faster
Hizi lines hazitoshei kwa tululu
Kata kata hio kitu faster
Hizi lines hazitoshei kwa tululu

Shika shika share share
Shika shika share share

YouTube player
Masterpiece King X KGG X Scar Mkadinali – Tululu

Produced by: Wednesday

Video directed by: Badman Bright


Did you enjoy Masterpiece King featuring KGG & Scar Mkadinali’s “Tululu” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts