Matata – Burudika Lyrics Ft. SirBwoy
Listen and read Matata – Burudika Lyrics Ft. SirBwoy on Doba KE.
“Burudika” is a feel-good party song by Norway-based Kenyan group Matata and SirBwoy. Matata teased the song for weeks before its eventual release.
The song follows April’s “Inakubalika”, featuring Watendawili, which has garnered 6 million views and counting on YouTube.
Read Matata – Burudika Lyrics Ft. SirBwoy
Matata Matata
[Chorus: SirBwoy]
Burudika, burudika, burudika, burudika, burudika, burudika
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Burudika burudika

[Verse 1: Freddy]
One lege, one lege, anguka nayo
Bounce again, bounce again, ukipita nayo
Kaa ni njege, ka ni njege, ni madharau
Once again, bounce again, ay
Tuko incognito, waist line simple
Tisho na slipo tunavuta maombitho
Utadhani ni chimney kumbe moshi ni mavela
DJ anaplay song zote zinasound acapella
Napull up to her bumper ka dere wa trailer
Ako na haga bigi na inaclap ndani ya dera
(clap ndani ya dera, clap ndani ya dera)
Wanataka kunimaliza baba, wanataka kunimaliza
Tunazitoka ki Michael Jackson, naleta action
Namwaga, namwaga, mwaga jasho
Skia ma gunshot, usiende junction
Uoga, sinanga mi ka Mike Tyson
Wallahi billahi hii club iko na ma billionaire
Vitu zinafanyika ndani hata vipofu wanajionea
[Verse 2: Fezzoh]
Zilimshika tukiburn, akadrop it like it’s hot
Anajua inakuwanga fun mkono ikiwa kwenye throat
Nani ndio boss hapa namdishi kama last supper
Saba saba, position, ganji ni 6 figure
Mnangu ni 8 na hapa 9 inch my nigga
Yangu ni bait, ah
Tunafanya dhambi Abu Dhabi na hawa mabaddie
Wanadai niwape lovey dovey kitu sifanyangi
Stingo ni mob, left, right na katikati
Legeza waist, ubend knees na utoe shati
Staki kuona one lege na patipati
DJ chezea huyo skinny bitch Miss fatty fatty
Niko na jaber, ako na kuber
Na ukuje na gang, nina mjulubeng
Kuja na mapeng, na usilete mother hen
Unlimited vigin hatuezi ishiwa na maweng
[Refrain: Fezzoh]
Aiyaiya, mpaka Abu Dhabi
Aiyaiya, na maordinare
Burudika—
[Chorus: SirBwoy]
Burudika, burudika, burudika, burudika, burudika, burudika
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Burudika burudika
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Burudika, burudika, burudika, burudika, burudika, burudika
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
[Verse 3: Richie]
Ah, hakuna area hatujaterrorize
Wasupa wenyu tukifika wanaturecognize
Juu tuki-rhyme, ni kumalo ni kufinalize
Wasee ni deadly, sherehe ya leo ni polite
Tingiza kichwa tena anguka nayo
Wakisha kitu kisha ‘pitishe round
Peleka chini hadi ifike kwa ground
Siku hizi vienyeji ndo wanachachisha town
Selekta, sauti ya doba iko chini, ongeza
Hadi nimesare tools juu ya meza
Juu zimeshika pia mix inaweza
Cheki madenge vile leo wanatesa
One lege, tunazoza kwa baesa
[Verse 4: Marcus]
Hush hush na ukibanja bruv, talk to me dive
And kanapenda her hair black, me I don’t mind it
Peng with extension, please don’t bleach
Man a new so expensive, personally size
Sio me or my goons it is Allah
Niliskip lunch ndio nijoin last supper
They know we don’t play watuona tuko handas
Handas na mabaddies baddies tuki-burn cannabis
Ka ni biz na handle ah
Kaa ni msupa na handle her
Kaa ni chupa, na muddle ah
Kaa ni verse mi murderer
Asalam, asalam, asalam aleikum
Huku Abu Dhabi tumechill na ma-tycoon
Asalam, asalam, asalam aleikum
Huku Abu Dhabi tumechill na ma-tycoon
[Chorus: SirBwoy]
Burudika, burudika, burudika, burudika, burudika, burudika
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Burudika burudika
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Abu Dhabi ndani ya club, peleka bangu chocha ngumu
Na mamnangu na mamdabu tunaikata na adabu
Burudika, burudika, burudika, burudika, burudika, burudika
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Buru ndani kuna burudani, life ni mkazu
Produced by: Africa Beats
Mixed by: Mixbychopz
Directed by: Katabira Films x Matata
Did you enjoy Matata featuring SirBwoy’s “Burudika” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.