Matata – Mangware Lyrics Ft. Watendawili
Listen and read Matata – Mangware Lyrics Ft. Watendawili on Doba KE.
Matata and Watendawili reunite following their 2024 smash hit “Inakubalika,” which has already surpassed 12 million views on YouTube.
Mangware is slang for “early morning,” and the track is part of their upcoming Mpishi EP, due in September.
Read Matata – Mangware Lyrics Ft. Watendawili
[Intro]
Thum mora (eh eh)
Yawa thum mora
Atim nadi yawa
Thum mora (Gini mit yawa)
Matata Matata
[Verse 1: Ywaja Tajiri]
Asubuhi nafika koro ka missed call aneno
Simu nyingi jaber nyi gochona
Tabia mbaya tinde asandiga
Aluta aheroga
Tinde alokora tinde atemo
Adog e ot chon adog e lemo
Anything you want donge abo kelo
I wanna treat you right you know I’m able
[Refrain: Israel Onyach]
Asubuhi ikifika baby usijali I’ll be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
[Chorus: Israel Onyach]
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
[Verse 2: Freddy]
Ng’ang’o kwa tumbler na niko handas
Nyako mkamba ako na ngotha kwa handbag
Aliona Mzee John akakosa comeback
Hata ikuwe ni iPhone, siwezi kosa charger
Nimeharibika, tei, fegi, bangi in deh
Nina Veronicah anado vitu za ndani nje
So keep distance ikunice
Hujanotice hii T-shirt ni ya white
Naweza toa glock bro hii si cold war
Mara ngapi tumezunguka kwa opp block
Tuki-hotbox kwa Probox na corporal
Ukitucheki kaa mbali
[Refrain: Israel Onyach]
Asubuhi ikifika baby usijali I’ll be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
[Chorus: Israel Onyach]
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
[Verse 3: Richie]
Saa zingine nakuwanga a Bad man
Saa zingine nakuwanga a sad man
Watu wanasema mi ni psycho
Juu life ina-movingi in cycles
Mkono moja nimeweka juu ya Bible
Ingine nimeshikilia kiraikũ
Run teke teke buda run teke teke
Makarao wanifuata ki-disciple
[Refrain: Israel Onyach]
Asubuhi ikifika baby usijali I’ll be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
[Chorus: Israel Onyach]
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
[Verse 4: Fezzoh]
Hello, Good morning Glory
Sorry for the two seconds we ni kama Mary
Too good kitu iko very
Verified, very fine, thank you, oooh
I’m feeling sensational
Naskia poa, ninajiskia
Leo naomba msiniadvice
Mkiona natrip please cheza chini
Na leo mi sitaki mabishano
Nikisema kitu please niamini
I’m feeling sensational
I feel sensational
[Verse 5: Marcus]
Niko waks ndio adoz ka malkia
Masela zimenice tuko high ka Kaiga
Baby girl go style up
Who said you look better with no makeup on? (Oh no no no)
Can’t have it, kichwa mbaya kichwa ngumu
My hair shaggy, jaber why you make my dick hard
If you diss me, I’m disturbing
Giz giz ka si biz please don’t tag me
[Refrain: Israel Onyach]
Asubuhi ikifika baby usijali I’ll be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
[Chorus: Israel Onyach]
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
Maa mangware, maaa mangware
Hadi maa mangware, maaa mangware
Produced by: Wuod Omollo
Video directed by: Katabira Films
Did you enjoy Matata featuring Watendawili’s “Mangware” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

