Lyrics > Mejja – Amnesia Lyrics

Mejja – Amnesia Lyrics

Mejja Amnesia
Screengrab, "Amnesia" by Mejja, YouTube.

Listen and read Mejja – Amnesia Lyrics on Doba KE. In the song, Mejja talks about how people who abandoned you return when you find success.

“Amnesia” follows his feature on Ranzscooby’s “Tic Tac Remix” and “Ushawahi,” which he released three months ago.

Read Mejja – Amnesia Lyrics

Okwonkwo
Mavo on the Beat

[Verse 1]

Mbona unanitafuta?
Niliomba uniokolee buda ukanifukuza
Saa hizi ndo unanijua
Nmeanza kushika doh ndo unataka kukuja?

Tukikunywa ndogogio, nilidhani si ni mamorio
Sikujua, marafiki wa sherehe, ukipata shida wanakuchorea
Uliambia watu “Mejja aliisha,” ona saii mi nakula maisha
Wewe si ulinilenga, nakupigia mpaka unaingia mteja

[Chorus]

Alaa! Umeshikwa na amnesia, ati saii hukumbuki
By the way niko free, time yako ndio sina
Alaa! Umeshikwa na amnesia, ati unanitafuta?
Alaa! By the way niko free, time yako ndio sina

[Verse 2]

Ulidhani ntachapa, nikipiga simu unakata
Mambo ni mpya gathee
Kabla unifikie kwanza ongea na P.A
We’ ni zuzu ninii? Uliambia watu “Najua atanitafuta!”

Na hio kazi ni mi nilikufunza
Mi nikutafute, kwani umekuwa mjinga?
Ah, na uwache kuniita bro, you’re just a friend, I used to know
Sina time ya watu fake, unanibore by the way unaeza step

[Chorus]

Alaa! Umeshikwa na amnesia, ati saii hukumbuki
By the way niko free, time yako ndio sina
Alaa! Umeshikwa na amnesia, ati unanitafuta?
Alaa! By the way niko free, time yako ndio sina

[Verse 3]

Siri zako ninazo, mi si kama wewe izo ntakufa nazo
Siri zangu umeeneza, inaonyesha vile ulikuwa umenibeba
We’ punguza hamnazo, hauna aibu ati unanialika kwako
Nijikute, ka kuna choice heri hata nife (ha-ha)

I want to make a toast, wagenge hukunywa rum
Ka beshte yako ni mtrue, cheers manze!!

[Chorus]

Alaa! Umeshikwa na amnesia, ati saii hukumbuki
By the way niko free, time yako ndio sina
Alaa! Umeshikwa na amnesia, ati unanitafuta?
Alaa! By the way niko free, time yako ndio sina

YouTube player
Mejja – Amnesia

Produced by: Mavo on the Beat

Video directed by: Nezzoh Montana

Did you enjoy Mejja’s “Amnesia” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts