Mr Right – Sijui Lyrics Ft. Scar Mkadinali
Listen and read Mr Right – Sijui Lyrics Ft. Scar Mkadinali on Doba KE.
On “Sijui,” Mr Right and Scar address various issues, including the June protests that engulfed the country.
Shot by The Black Jurist, the music video features thermographic effects reminiscent of UK rap legend Skepta’s Ignorance is Bliss album cover and COLORS performance.
Read Mr Right – Sijui Lyrics Ft. Scar Mkadinali
[Intro]
2, 3, 4
Get the mulla silali fofofo
M-RRRRR
[Chorus: Mr Right]
Sijui, sijui, nitoke na Toyota ama Honda
Reject Finance Bill ma-nigga wamegoma
Sijui, nishikishe na njugu ama gomba
Leta nye nye tutakufukuza kwenye boma
[Post-Chorus: Mr Right]
1, 2, 3, 4
Get the mulla silali fofofo
1, 2, 3, 4
Tunadai kubuy hizo 4 door
1, 2, 3, 4
Silali sana silali fofofo
1, 2, 3, 4
Tunadai kubuy hizo 4 door
[Verse 1: Mr Right]
Sijui, nitoke na Toyota ama Honda
Sijui, nishikishe na njugu ama gomba
Sijui, nishuke na kanono ama thick konda
Sijui, nivae kangol ama toppa
Sijui, nitoke na machine ama chopper
Sijui, nivae NFL ama Bomber
Sijui, nishuke na kanono ama thick konda
Sijui, sijui, sijui, sijui
Anasema ananiknow lakini mi simjui
Peng ting ako strapped na amepiga buibui
Mi humshow mi ni bad boy, bad boy
Anasemanga ati, anapendanga maboy warui
Si ni heavyweight champion hatudeal na ma-light weight
Smart kwa hii class sisi ndio tuna high grade
Wanadai kuhop in (hop in), 2 bad girls
Tight waist, high waist, M-R number plate
[Chorus: Mr Right]
Sijui, nitoke na Toyota ama Honda
Reject Finance Bill ma-nigga wamegoma
Sijui, nishikishe na njugu ama gomba
Leta nye nye tutakufukuza kwenye boma
[Post-Chorus: Mr Right]
1, 2, 3, 4
Get the mulla silali fofofo
1, 2, 3, 4
Tunadai kubuy hizo 4 door
1, 2, 3, 4
Silali sana silali fofofo
1, 2, 3, 4
Tunadai kubuy hizo 4 door
[Verse 2: Scar Mkadinali]
I wake up and I know it’s time to survive
Choma kolombo, cabin iwe live
Chunga ngusu zangu huwanga nimezispice
We’ fika bei juu kila kitu ina price
Nime-survive mara ngapi, mara thrice
Nikizaliwa, nikioa na nikiwa na rafiki mnafiki ashindwe
June 25th on a Tuesday
Walimada mtoto mdogo hapo mbele ya bunge
Ah, fuck the cops
Nikiwa ndani ya 110 niko na glock
Nikiwa na nduthi gang napiga drops
Ndani ya Royal Saloon niko na Crown
So sijui ka unajua umetupa mbao
Ka ni noma huezi tatua unaanguka nayo
Before nidedi nataka nidishi dem karao
Ni Mr Rong, Mr Right, yeah chick pow!
[Chorus: Mr Right]
Sijui, sijui, nitoke na Toyota ama Honda
Reject Finance Bill ma-nigga wamegoma
Sijui, nishikishe na njugu ama gomba
Leta nye nye tutakufukuza kwenye boma
[Post-Chorus: Mr Right]
1, 2, 3, 4
Get the mulla silali fofofo
1, 2, 3, 4
Tunadai kubuy hizo 4 door
1, 2, 3, 4
Silali sana silali fofofo
1, 2, 3, 4
Tunadai kubuy hizo 4 door
Produced by: Enock58
Instrumental by: ysmadethis
Directed by: The Black Jurist
Did you enjoy Mr Right featuring Scar Mkadinali’s “Sijui” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

