Mr. Seed – Diva Lyrics ft. Tipsy Gee & Sean MMG

Listen and read Mr. Seed – Diva Lyrics ft. Tipsy Gee & Sean MMG on Doba KE.
Hopping on the Arbatone genre, Mr. Seed links up with Tispy Gee and Sean MMG over an instrumental reminiscent of Daddy Yankee’s “Gasolina.”
“Diva” is his second release of the year following “This Year” featuring Scar Mkadinali.
Read Mr. Seed – Diva Lyrics ft. Tipsy Gee & Sean MMG
[Intro]
Man a—, Man a—
Magi Magi cheki
Na Man a Tipsy
Mr. Seed again
Hallo hallo hallo hallo, eh
Hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo
Giddy Vibes
[Verse 1: Tispsy Gee]
Yo, kuna ki-aroma kinacome toka inside
Na venye nimekisoma kinakaa ni kidelicious
Kwela imejaa na imelishwa ikitingizwa
Inatingika tingika diva si ni divalicious
Badilika mum nakuja kuku-pick up
Mbona sa unabaki home na mimi ndo your big man
We piga smile mi ndo ntalipia picha
Na dinner, na hadi malaika analilia D, ya Man a Tipsy
[Pre-Chorus: Mr. Seed]
Ye ni malaika malaika malaika, yeah
Malaika malaika malaika
Ye ni malaika malaika malaika, yeah
Malaika malaika malaika
[Chorus: Mr. Seed]
Nasema diva anataka dinner (anataka di…)
Baby come nikupeleke dinner (nikubless na di… na na na na)
Nasema diva anataka dinner (anataka di…)
Baby come nikupeleke dinner (nikubless na di… na na na na)
[Verse 2: Mr. Seed]
Nimekudigi unakaa fiti
Na ninathinki nikupeleke ukakule fishy
Mi si mtricky na sinanga kiki
Siwezi kucheat ma, ju we ni peng ting
Hallo hallo hallo hallo, eh
Hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo, eh
Hallo hallo hallo
Magi Magi
[Verse 3: Sean MMG]
Baby girl hallo na si utoke home mi nikupe form
Niko madoh na nachoma ndom like never before
Ninabond nikizima danga zote tu alone
Ju manze inaeza nice nikipata wa kuperform
Na kuna kwela anataka twende dinner
Jina ni Monalisa na ametoka Umoinner
Machargie wanapita wakilia she’s a killer
Na mimi najibamba nikitoka na madiva
Magi Magi
[Chorus: Mr. Seed]
Nasema diva anataka dinner (anataka di…)
Baby come nikupeleke dinner (nikubless na di… na na na na)
Nasema diva anataka dinner (anataka di…)
Baby come nikupeleke dinner (nikubless na di… na na na na)
Nasema diva anataka dinner (anataka di…)
Baby come nikupeleke dinner (nikubless na di… na na na na)
Nasema diva anataka dinner (anataka di…)
Baby come nikupeleke dinner (nikubless na di… na na na na)
[Outro]
Hallo hallo hallo hallo, eh
Hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo, eh
Hallo hallo hallo
Giddy
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.