Lyrics > Njerae – Baki Pekee Yako Lyrics ft. Watendawili

Njerae – Baki Pekee Yako Lyrics ft. Watendawili

Njerae - Baki Pekee Yako ft. Watendawili
Njerae and Watendawili

Listen and read Njerae – Baki Pekee Yako Lyrics ft. Watendawili on Doba KE.

In the song, Njerae and Watendawili croon over a past lover that they vow to stay away from to avoid heartbreak.

Read Njerae – Baki Pekee Yako Lyrics ft. Watendawili

[Verse 1: Njerae]

Nakumbuka ulivyosema
Ati tena, wanipenda
Nikiwaza pia ulivyonitenda
Hapo mapema, kunitenda, ah

Na nyumbani nishaenda, mara kadhaa
Wengi nishapenda
Nani afaaye penzi langu la ukweli
Nishapatana na lines zako deadly

[Refrain: Njerae]

Ah, so, don’t take it personally
I don’t think you should be with anybody
Naona tu ni afadhali, ubaki pekee yako
Sooo…

[Chorus: Njerae]

Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako
Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako

Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako
Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako

[Verse 2: Israel]

Hizi vitu ziufanyika, ni pilka pilka
Madem jo ni wengi but ni we ndio ninaita
Hao wengine nilicheza nao
Lakini penzi yenye mimi sitawai sahau

Ni ile penzi we ulinipa mpaka saii niko
Ngai fafa sitawai pata penzi kama lako
Ni ukweli mi ndio nilitupa rada kucheza nje na kuhanya
Nimebaki na mawazo

[Chorus: Njerae]

Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako
Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako

Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako
Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako

[Verse 3: Ywaja]

Uko wapi sasa?
Bila wewe siko sawa nimekosa raha
Na najua mabeshte wako wananisemanga
Mara waliniona huku, mara waliniona kule

Wananiekeleanga bure uuuwi
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (nisamehe)
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (désolé)
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (nisamehe)
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (désolé)
Penzi désolé

[Chorus: Njerae]

Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako
Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako

Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako
Baki pekee yako
Umevunja wengi baki pekee yako

[Outro]

Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho (désolé, désolé)
Kile kimomacho (désolé)
désolé

YouTube player
Njerae ft Watendawili – Baki Pekee Yako

Produced by: Kobby Worldwide

Video directed by: James Wamathai


Did you enjoy Njerae featuring Watendawili’s “Baki Pekee Yako” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts