Nyashinski – 1 of 1 Lyrics
Listen and read Nyashinski – 1 of 1 Lyrics on Doba KE.
“1 of 1” is the first song on the To Whom It May Concern EP.
Read Nyashinski – 1 of 1 Lyrics
Uh
Yeah, yeah
[Verse 1]
Mafan wanataka some new ish
Mamaa anataka a new whip
Babaa anatafuta school fees
Hananga patience ya bullshit
Uh, nakuwanga hood rich
Jaba inaletwa na toothpick
Pull up wanashangaa who’s this
Pull up wanashangaa, who’s Shin Chilla
Dogi mzee hazina new tricks
Wanaishanga wakifeel sweet
Siwataji ka the shoes fits
Siwahitaji sana vile nyi hu-wish
Sanaa imejaa na ma cool kids
Gava inafaa na mayouth please
Ambia mafala the truth is
Song zao nazipeanga two weeks
Mang’aa amesimama kwa pulpit
Anapractice kile yu preach
Mind yangu inakuwanga too quick
Line zangu zinakuwanga too sick
Ma-flow unaonanga vile mi huswitch
Mi pekee ndo rapper nyi humiss
Hakuna level sijai reach
Hakuna dranya ako too thick
[Chorus]
Wah! God bless
Tangu nishike cordless
Marapper wengi wako jobless
Hii game ni ka mocha ni heartless
Uh, industry ni selfish
Aim ya kila mtu ni get rich
So na aim-ia kila mtu si-make peace
Na ata ka ntaforgive si-forget shit
[Verse 2]
Hivi ndo inakaa saa ile hubahatishi
Unaona gwiji so far
Cheki vile naifanya fiti, unapenda mziki
Na hata hulazimishwi
Na mapost mingi mingi
Bila stunts na ma kiki
Na-run Jiji, nasound fiti
I am simply one of one
Hivi ndo inakaa saa ile hubahatishi
Unaona gwiji so far
Cheki vile naifanya fiti, unapenda mziki
Na hata hulazimishwi
Na mapost mingi mingi
Bila stunts na ma kiki
Na-run Jiji, nasound fiti
I am simply one of one
Ni so fulfilling
Silipwi na promises ama exposure
Hapana ni dollar au shilling
Utaamini blogger au mimi?
To be frank lakini
Career yako ilidie ikazikwa
Unangoja ni-argue na mzoga au nini?
Unanifuata sana umerogwa au nini?
Uh, mi sio ka nyinyi, hakuna msanii hupiga show ka mimi
Gari ya loan kutuonesha vile unashika doh siamini
Baada ya miaka kadhaa unadai kuchangiwa, wah!
Juu ya okada juu ya vile umeharibu maziwa, wah!
Situation yangu ni win win
Aisee digaga na bling bling
Friday Kidagaa na sim sim
Man siezi lala na-live dream
Kitu hamwezi fake ni energy
Sitolerate fake energy
Arif atabaki arif
Enemy atabaki enemy
Niko La Villa nakula pasta na wife
Najua watu ni ma gangster for life
Stamps zimejaa kwa passport ya mine
Kumbuka ni business class nikifly
Uh, business yangu usiingilie
Usha-warniwa sa usinitry
For peace of mind sijidrive
Uh, crib ya mine si ni vibes
Umefanya nini in life?
Ndo uweze kunipa advice
Tuambie unajua nini besides
Kucriticize criticize?
Uh, nimefanya vitu hukuwa unajua zinaeza fanyika
Keep it one hunna
So hata hizo vitu nakuona uko busy ukiandika
Hazina maana
Mahater si wanangangana
Mamoves mi namake wanaziona
Umengoja niheme ukahema
Nlikushow mi ni marathon runner
Nafanya unakaa fala
Kupredict downfall ya mine
Mmebonga sana na nimewaskia
Sa nawachapa one at a time
Produced by: Bully
Did you enjoy Nyashinski’s “1 of 1” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

