Lyrics > Nyashinski – Fly Lyrics

Nyashinski – Fly Lyrics

Nyashinski - Fly
Nyashinski - Fly

Listen and read Nyashinski – Fly Lyrics on Doba KE.

On “Fly,” the second song from the Good Old Days EP, Nyashinski is love-struck and wants the moments to last forever regardless of how fast time flies.

Read Nyashinski – Fly Lyrics

[Verse 1]

Bila raha kuna times za ku-remember
Na time ya ku-remember ndo utakuwa nayo pekee
Bila love hakuna mahali tunaenda
Show me love and never show anything else

Hizi moment nataka zi-last forever
Every moment tuko nayo jitolee
Ka ni real basi itakuwa hapo kila weather
Ntafurahia jua zaidi kaa jana kuli-rain

[Chorus]

Rithisha moyo why
Usiulize why oh why oh why
Uko in the mix with the best enjoy
That’s all I want, enjoy

To feeling more alive
The reason why oh why oh why
Uko in the mix with the best
That’s all I want

[Post-Chorus]

Ona vile saa huwa ina-fly, vile sawa ina-fly
Ona vile saa huwa ina-fly, vile sawa ina-fly
Hata siamini (mini), vile ina-fly
Hata siamini (mini)

[Verse 2]

Macho nayo bado nishindwa kuona
Tuki-worry hakuna kitu tutachange
Bila love hakuna mahali tunaenda
Show me love I’ll never show anything else

Onja raha ujionyeshe unajipenda
Time unayo usikubali kui-waste
Real humaanisha niko hapo kila weather
Real humaanisha niko hapo kila day

[Chorus]

So rithisha moyo why
Usiulize why oh why oh why
Uko in the mix with the best enjoy
That’s all I want, enjoy
To feeling more alive
The reason why oh why oh why
Uko in the mix with the best
That’s all I want

[Post-Chorus]

Ona vile saa huwa ina-fly, vile sawa ina-fly
Ona vile saa huwa ina-fly, vile sawa ina-fly
Hata siamini (mini), vile ina-fly
Hata siamini (mini)
Ona vile saa huwa ina-fly, vile sawa ina-fly
Ona vile saa huwa ina-fly, vile sawa ina-fly
Hata siamini (mini), vile ina-fly
Hata siamini (mini)

YouTube player
Nyashinski – Fly

Produced by: Cedo


Did you enjoy Nyashinski’s “Fly” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts