Nyashinski – Jitu Lyrics Ft. Khaligraph Jones & Savara

Listen and read Nyashinski – Jitu Lyrics Ft. Khaligraph Jones & Savara on Doba KE.
On March 22, 2024, Khaligraph shared a snippet on Instagram of himself and Shin in studio jamming to “Jitu.”
“Jitu,” which translates to a “Giant,” finds the trio flexing their greatness, citing not being in the same league with their competition.
Read Nyashinski – Jitu Lyrics Ft. Khaligraph Jones & Savara
Big man kwao mi ni—
Yeah
[Verse 1: Nyashinski]
Big man kwao mi ni jitu, niki-reminisce kwao najisifu
Wako cut from cloth iko see through
Naona weakness yao huwanga wivu
So naburn bridge yao naacha jivu
Back-to-back hits
Melodies, raps, number one on your list
No apologies, facts, I’m back on my shit
Nikitake break unaona vile game inanimiss
Nani anaeza brag hii design bila ku-exaggerate
Zao tu ni rhymes najua hawarelate
Hakuna ule anakeep up na hii pace
Just keep in mind hakunanga debate
Ya bidii na time nina-dedicate
Slim lakini my account heavyweight
Ukinimeet nakaanga na levitate
Medicate alafu na meditate
Mi bado wananirank
Hewa safi mahali najificha, usisahau mitaa ni za ki-punk
Unatakaje bana, hio ni petty cash, usione rap haijazi bank
Price ya C Class kwa M-pesa, na sub woofer ndani ya trunk
Kwanini time ikifika wale husema wanajiweza hawaezangi tokea
Huamini vile unapitwa ni ka umesimama, uzee hauwezangi ngojea
Natoka mahali mali hupotea, heshma lazima usiwahi jikosea
Amini sikuwa nalala, nilikuwa nalima ndo maana huwezangi compare
Ni mlango gani wakitinga uko sure siezi fungua na jina, si ukam uni-dare
Haungeniskiza kama singeifanya vile nilisema si ushajionea
Kaa niko kuna marashi kwa air
Hii loud inatupa sana ni ka natangaza haimati wapi naichomea, juu ni maksudi sitajitetea
Shoot for maziwa ni ka Delamere
Obituary sema ulikuwa millionaire
Of which wakicheki ni kazi inaongea
Kichwa ni heavy juu crown iko there, mmh
Si kuna break mi naingia ku-prepare
Hii kitu utai-take hakuna mtu hukupea
Na hakuna lift ni stairs
[Chorus: Nyashinski]
Big man kwao mi ni jitu, money talks na ni sanifu
Ndo ujue nani ma-baller, you should know people
Unatembea kila mahali na kisu, omba usikutane na pistol
Ndo ujue nani wakora, you should know people
Big man kwao mi ni—
[Verse 2: Khaligraph]
Jitu, wameswitch plans zao juu ni bitch moves
Niko na hitman mtaa ako na pistol
Keep you distance (paow!), we gon’ get you
Tunapiga P’s Shang Tao na mamchinku
Ukidiss Maumau ni mavitu
Zinakudunga skin i-turn brown kama measles
Told you big man kwao mi ni jitu
Mama told me keep that crown coz it fits you
I only perform when I want to, show niki-rehearse hio ni contract ya corporate (facts)
These niggas wanna ride on your dick for some clout, ndo wakuache na cancer ya prostate
Negative talks hunichomei picha, Omollo bado ndo ako kwa portrait
IQ high na philosophy ya BC, Sarakasi Dome I was Socrates
Been through a lot in my life, hater akinitemea mate ni fine (woo)
Mnanidiscuss, nani alisema kutafutia watoi mkate ni crime (yeaah)
Mnaniblame nikiringa na mnanitumia wasanii ratchet ni-sign (kwenda)
Ain’t no thing such as halfway dope Shin tell ’em hii ni perfect design
Siku hizi ukiona nimeshiba ni afya
Niko mafutani ni ka nalipwa na Russia
Usicatch feelings juu ni mi ndo wanacrushia
Chanuka bro usikuwe ka Peter Salasya
Been a nutcase since the foetus
Lullaby song mom’s played me Ether
First nickname man’s called me the Reaper
Shin wagwan breda pass me the reefer
Slice a nigga up like Pizza
Tell me if you know a rapper who can keep up
Keep it a buck, no lets keep it a mita
Phone ikiring only pick up Nikita
Kana ka sitaki sitaki
Si ndo mbogi hupiga khaki na toughees
Look sijali ka ni safi au si safi
Long as niko na kitu attractive kwa parking
The streets love the heat so they coppin’ it
I feel like a beast in an orphanage
Aiming this D in your oesophagus
Fuck what you think I’m Black ?? in metropolis
How you gon’ settle for average
The code has been cracked I unravelled it
Crafted this gift to perfection
The aura got y’all niggas doing the Kaepernick
I was an OG way before the IG
We uliingia IG before the OG
Saa hii IG ni ka haikusaidii
Unahide ID ukipost emojis
Now the bets are off
Unajipata mataani juu hauombi Mungu
Naeza kuwa mjinga according to you but
Unajua nyani haioni—
[Chorus: Nyashinski]
Big man kwao mi ni jitu, money talks na ni sanifu
Ndo ujue nani ma-baller, you should know people
Unatembea kila mahali na kisu, omba usikutane na pistol
Ndo ujue nani wakora, you should know people
Big man kwao mi ni—
[Verse 3: Savara]
Respect si-negotiate utanipa na si tafadhali
Pull up in a foreign unanusa foreign wanajua mi ni nanii
Ladies wanataka tattoo, by round two
Jitu, talk is cheap na sikuwangi cheap, time yangu ma he…
Respect si-negotiate utanipa na si tafadhali
Pull up in a foreign unanusa foreign wanajua mi ni nanii
Ladies wanataka tattoo, by round two
Jitu, talk is cheap na sikuwangi cheap, time yangu ma he…
Produced by: K Da Great
Did you enjoy Nyashinski featuring Khaligraph Jones & Savara’s “Jitu” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.