Ochiko – Naenjoy Lyrics

Listen and read Ochiko – Naenjoy Lyrics on Doba KE.
In “Naenjoy,” Ochiko sings about enjoying his current love life. Like the other songs on the EP, he reflects on being given a chance at love and embracing it. Moreover, he emphasizes that love should not be rushed.
“Naenjoy” is the third song on Ochiko’s Salt & Water EP.
Read Ochiko – Naenjoy Lyrics
[Verse 1]
Ma-mapenzi haitaki hasira
Inataka mwendo wa pole pole
Mwendo wa aste aste, mwendo wa pole pole
Peleka pole pole
Kukazama nini wewe wewe
Roho ilitaka kuzama
Na mimi ni nani, nikapewa nafasi, nikazama ndani na zaidi
Na mimi ni nani, nikapewa nafasi, nikazama ndani na zaidi
[Pre-Chorus]
Urembo wako, unanizidi uzito
Cha muhimu nakupenda, unanipenda
Upendo wako, haujui mwisho
Unanipendeza, ninakupenda
[Chorus]
Naenjoy naenjoy (naenjoy)
Mapenzi ma-penzi heavy
Amenipata-ta
Umepatana na, cha muhimu
Naenjoy naenjoy (naenjoy)
Mapenzi ma-penzi heavy
Amenipata-ta
Tumepatana na, cha muhimu
[Verse 2]
Na kuna vile unavyonitazama
Unanitazama kwa pendo, ukinishika huachilii
Umesema huniwachi, mi ni wako, we’ ni wangu
Ndani ya roho, mi ni wako
Macho yangu, ya macho yangu
Yamekuona wewe tu
Macho yangu, ya macho yangu
Yamekuona wewe tu
[Pre-Chorus]
Urembo wako, unanizidi uzito
Cha muhimu nakupenda, unanipenda
Upendo wako, haujui mwisho
Unanipendeza, ninakupenda
[Chorus]
Naenjoy naenjoy (naenjoy)
Mapenzi ma-penzi heavy
Amenipata-ta
Umepatana na, cha muhimu
Naenjoy naenjoy (naenjoy)
Mapenzi ma-penzi heavy
Amenipata-ta
Tumepatana na, cha muhimu
Produced by: Kobby Worldwide
Did you enjoy Ochiko’s “Naenjoy” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.