Lyrics > Sewersydaa – Cry Baby 2 Lyrics Ft. Dyana Cods

Sewersydaa – Cry Baby 2 Lyrics Ft. Dyana Cods

SewerSydaa, Dyana Cods - Cry Baby 2
SewerSydaa, Dyana Cods - Cry Baby 2

Listen and read Sewersydaa – Cry Baby 2 Lyrics Ft. Dyana Cods on Doba KE.

From Sewersydaa’s Mauru Unit album, the song talks about the challenges of being romantically involved with an artist. Heartbreaks will turn you into a “crybaby.”

Sewersydaa – Cry Baby 2 Lyrics Ft. Dyana Cods

Yeah, uh

[Verse 1: Sewersydaa]

Choma yako pereka na uko
Mi sitaki dem ana vituko
Nimezoea kuishi more than sixth floor
So mi sioni ka naeza stoop low

Ka ni homa siezi ipata
We unadhani niko aje cold
Na please mi nimesota so usione utachimba hapa gold
Minnesota hadi L.A, summer bunnies wanataka game

Niliwambia watume madollar sahii lands zinago at a heavy rate
Dec wana-come hawanipati baze
Wanaambiwa Sewer ali-relocate
Okay tutaambia nini wasee, ni M-Sape, Remit au Sendwave

I’m not real i’m purely fake so kaa ulikuwa unadhani umemistake
Usiconfuse na ile jeshi ya genge, beat inaangushwa ki-recce
Ka unataka kufikia ki Pembe, toja this sare kinembe
Ka unataka kufikia ki Pembe, toja this sare kinembe

[Chorus: Sewersydaa]

Cry baby unalia lia, shika T.P gyal wipe your tears
Ati sikupendi my dear, hizo ni nini ndio unaskia
Kwaheri, follow your peers
Haukuambiwa uachane na mnisa

[Bridge: Dyana Cods]

Haiwezi bye bye baby
Cry baby, unadeal na ka cry baby
Nilikushow usijaribu kufall-ia msanii
Cry baby, unadeal na ka cry baby
Story kwa news ni vile unapea wasanii
Cry baby, unadeal na ka cry baby
Nilikushow usijaribu kufall-ia msanii
Cry baby, unadeal na ka cry baby
Story kwa news ni vile unapea wasanii

[Verse 2: Dyana Cods]

Bad gyal like walai bilai
When they see me drop dead man mi never lie

Bruk it up bruk it up bruk it up whine up
Make your mandem call me dirty Dyana
Top gyal let me kick it designer
Ruff neck when I gimme more designer, uh-huh

Thick thighs save lives holla me ukidai tu kubembelezwa
Doc doc shebeleza, G-string imejaza hela
Anapenda nikiwa kwa dera, ju inatokanga bila pressure
Pull up to mi bumper oh my gosh, kwanza nikiwa mavela

Saa saba usiku anadai hio ass, left, right, cheek, neck
Kitanda ni 6 by 6 mi pia nadai tui-break
Saa saba usiku anadai hio ass, left, right, cheek, neck
Kitanda ni 6 by 6 mi pia nadai tui-break

[Outro: Dyana Cods]

Cry baby, una-deal na ka cry baby
Nilikushow usijaribu kufall-ia msanii
Cry baby, una-deal na ka cry baby
Story kwa news ni vile unapea wasanii
Cry baby, una-deal na ka cry baby
Nilikushow usijaribu kufall-ia msanii
Cry baby, una-deal na ka cry baby
Story kwa news ni ni unapea wasanii

YouTube player
Sewersydaa Ft. Dyana Cods – Cry Baby 2

Did you enjoy Sewersydaa featuring Dyana Cods’ “Cry Baby 2” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts