SewerSydaa – Eastlands Lyrics Ft. Skillo

Listen and read SewerSydaa – Eastlands Lyrics Ft. Skillo on Doba KE.
The song is a conversation between two friends, one who moved abroad and the other still in the hood. Eastlands is an area on the East side of Nairobi synonymous with a tough life compared to the posh life on the opposite side of the city.
“Eastlands” is the third song off Sewer’s new album Mauru Unit.
Read SewerSydaa – Eastlands Lyrics Ft. Skillo
Fuck manze hii area inakatsia joh
Mambo ya ofisi nini, kufyeka
Hanaku form sindio
Aaah, acha nipigie nani
Acha nipigie Skillo
Simu haingii
Simu haingii joh
(HR Pump hio track bana)
[Chorus: Sewersydaa & Skillo]
Hallo Skillo ni Sewer, (ah sema Driller)
Eastlands kunasema aje, najua nimeficha
Mmh luku bado kibla wa maangita
Tunasaka form hatujalalisha
Na Brayo aliacha mzinga, naskia Vayo alimarrika
Mi niliacha kushikisha, wera imenishikanisha
Acha nikupe riba watu walibadilika
Wengine wakatajirika hata wakahama Eastlands
[Verse 1: Sewersydaa]
Mi nawish huku manze ata singewai fika
Nilikuja kujaza mfuko, si unajua mi bado mziza
Lazima nidunge Timber, mtaa nilipe stima
Sinaga hata dakika lakini nina pesa ka shida
Wana gari ka zetu but ni za kufinya si ignition
Mnisa ana ganji though kuliko politician
Huku huwezi piga dem law za FIDA zimeshika
Na una-deal na agents hakunaga cha mdealer
Siezi osa kuwashinda though hadi mi huoshea tajiri chrome
Napiga hadi three jobs, almost kupata free loan
Foods ni za GMO, almost kuenda chemo
Nakushow niko kwa system lakini ni ka iko on steroids
Still coins au notes, hawachukuangi hongo
Cabro kwa esto hakunaga ata pothole
Si choice yangu, racism bado iko
Rejoice mtu wangu ka we bado uko huko
[Chorus: Sewersydaa & Skillo]
Hallo Skillo ni Sewer, (ah sema Driller)
Eastlands kunasema aje, najua nimeficha
Mmh luku bado kibla wa maangita
Tunasaka form hatujalalisha
Na Brayo aliacha mzinga, naskia Vayo alimarrika
Mi niliacha kushikisha, wera imenishikanisha
Acha nikupe riba watu walibadilika
Wengine wakatajirika hata wakahama Eastlands
[Verse 2: Skillo]
Ni harakati za usherati na mihadarati
Ka siteremshi glasi, nateremsha panty
Smile coz I’m happy hata nikikosa something
Kata ribbon na makasi ndipo tukate maji
Returns za hustling, hadi natamani ungeniskiza ubaki
Haungeenda mahali
Oti alishamarry, Georgi aliwai gari
Hatutulii tu mtaani, we are smoothly running
Shughli bado ni ile tu, mlima tunaskuma
Lakini sio zile zetu, hizi ni za kumuja
Waristi si wa kwetu huskii joh ni wa Runda
Malgan safi ndechu ndo tunawakula
Greencard haimaanishi green pastures
Kama waafrica, we need to learn that
Uki-land a job haufai kulala joh
Ikuwe ni London, Joburg, Kitee ama Dago
[Chorus: Sewersydaa & Skillo]
Hallo Skillo ni Sewer, (ah sema Driller)
Eastlands kunasema aje, najua nimeficha
Mmh luku bado kibla wa maangita
Tunasaka form hatujalalisha
Na Brayo aliacha mzinga, naskia Vayo alimarrika
Mi niliacha kushikisha, wera imenishikanisha
Acha nikupe riba watu walibadilika
Wengine wakatajirika hata wakahama Eastlands
Produced by: HR The Messenger
Video shot and edited by: Theblackjurist
Directed by: Slim Visuals
Did you enjoy Sewersydaa featuring Skillo’s “Eastlands” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.