Sewersydaa – My Avi Lyrics

Listen and read Sewersydaa – My Avi Lyrics on Doba KE.
Off his new album Mauru Unit, this politically charged single is the sixth song on the album.
Read Sewersydaa – My Avi Lyrics
Yo! Yo! yo! yo!
Man a Driller
In your area
2023 Mauru Unit
[Hook]
Story zetu media hazicavi, tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana hata after kuambiwa anakaa jambazi

[Verse 1]
Wa kwanza kwa scene, kumbe hata sikuwa nimeenda mahali
Cliff asipo-pick hio call, napigianga Danstan Omari
Ukichunguza fiti bro, mi naona kuna a bit of malice
Ndani ya corridor ya Milimani, Kahawa na sukari si Wendani
Kalala anaeza kuwa the Kenyan Harris
Naskia ye haitishangi faris, wera kila kitu ndasu mali
For the future saii mi ni mzazi
Chipo fungwa amepiga kambi hapana kaa comfy ni kaa tuko married
Choma pedal usishike pedi hatutaki watu wanapea watoi candy
Hata 10 bob iko kwa budget ambia huyo sanse simpatii ganji
Extortion from watiaji, na ati wanafanya public service
I wish hata walami wangebaki, ona saii Kenya iko up for grabbing
[Hook]
Story zetu media hazicavi, tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana hata after kuambiwa anakaa jambazi
Story zetu media hazicavi, tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana hata after kuambiwa anakaa jambazi
[Verse 2]
Yoh! nani alikuambia utume pesa, umetokwa, unateta
Avi alikupatia pressure, ona sa ulimangwa na hater
Si huskia kesi za mbleina, tunazirudisha back to sender
News tunaziskianga on mute, story za media si huzilenga
Avi hadi anakumangia dem, avi hadi anadai hadi hio fame
Steve Harvey kwa hio frame, hadi hadi akiwa cell
Huskii unamuoneanga net, huezi pata meet-up na ye
Hii game ye hujua kuiplay, atamake sure umefinya send
Freakin’ weekend, windows tinted
Freaky bitches, keep off dickheads
Freakin’ weekend, windows tinted
Freaky bitches, keep off dickheads
[Hook]
Story zetu media hazicavi, tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana hata after kuambiwa anakaa jambazi
Story zetu media hazicavi, tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana hata after kuambiwa anakaa jambazi
Did you enjoy Sewersydaa’s “My Avi” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.