Lyrics > Sewersydaa – Seasaw Lyrics ft. Sudough & Katapilla

Sewersydaa – Seasaw Lyrics ft. Sudough & Katapilla

SewerSydaa Mauru Unit Album Cover
SewerSydaa Mauru Unit Album Cover

Listen and read Sewersydaa – Seasaw Lyrics ft. Sudough & Katapilla on Doba KE.

“Seasaw” is the fourth song from Sewersydaa’s Mauru Unit album and was produced by HR the Messenger.

Read Sewersydaa – Seasaw Lyrics ft. Sudough & Katapilla

Eeh ndechu
Uh, yoh!
HR pump hio track bana

[Verse 1: SewerSydaa]
Toboa hio shimo vizuri usikuje kushukisha na njugu zangu, uh
Streets tunavaa ma gumboots, chochee tunapitia Mungu wangu uh
Kuwasha torch huku ni kaa taboo, okay
Aya bas, ushaipatana na vijana wa K-South wakakuingia ma-bamboo

Donkey haziko Lamu pekee angalia watu tunapeleka kwa parliament
Kaa ni maleader hatunanga taste
Wrong wrong tukifinyanga next
Heist inapigwa kwa blackout men backup zinashindwa ku-generate

Empty vase inalia sana, hasira ni ya mtu ana-stammer
Hey Dj unamiss jaba, Halima ameshinda akinidara
Ndranya aliuzisha mzae shamba, wife alipatia stapa mrenga
Mnduli anajua kulegeza kamba, msape atakumada juu ya pesa

[Hook: Sudough]
So bad how we’ve been up and down, rocking the seasaw
Fat bass out here mnaiskia hot sound, breaking your window
They say that sound viboko they surely know zetu ndio fimbo
Same direction as the wind goes, leading the people
Same direction as the wind goes, leading the people

So bad how we’ve been up and down, rocking the seasaw
Fat bass out here mnaiskia hot sound, breaking your window
They say that sound viboko they surely know zetu ndio fimbo
Same direction as the wind goes, leading the people
Same direction as the wind goes, leading the people

[Verse 2: Katapilla]
Yeah,
Hand off the pack woof!
White ka Walter Cook
Must ijipe by the hook or the crook

Yeah, biz ni ya kubuy and sell
First of all kwanza pigia huyo clientele
Ukiniona mitaa niko high as hell
Usiulize natafuta my higher self

Namba nane nazoza na R and I
Surname isome kwa cheque Opara
Dragon nikitema kwa beat ya HR
Wanacheck lines ka VAR, ayy

Ati mi ni msimple, nani?
Toast ka unakula hip-hop money
Next year nachipo Ntalami
Content ya hawa ma Tiktok dummies

Mastripper kwa pole kwa bar (kwa bar)
Alafu kwa pori nimejaa (nimejaa)
Si leo katanuka masaa
Brr-ba, ska pa pa pa

Ka we ni mbleina we getting rid of—
You got no motive of getting rich
Me am onto the things they never did
Since a rookie they mess with the energy

So tell an enemy, nani unanuna nini?
Different vibe yes am back with the kunda lini
Nataka paper mabunda mimi
Manager hebu confirm tuna show Ukunda lini

YouTube player
SewerSydaa – Seasaw

Produced by: HR The Messenger


Did you enjoy Sewersydaa featuring Sudough & Katapilla’s “Seasaw” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts