Lyrics > Sewersydaa – Telescope Lyrics Ft. Mr Right & HR the Messenger

Sewersydaa – Telescope Lyrics Ft. Mr Right & HR the Messenger

SewerSydaa Mauru Unit Album Cover
SewerSydaa Mauru Unit Album Cover

Listen and read Sewersydaa – Telescope Lyrics Ft. Mr Right & HR the Messenger on Doba KE.

The 16th track on his Mauru Unit album is produced by HR the Messenger.

Read Sewersydaa – Telescope Lyrics Ft. Mr Right & HR the Messenger

HR pump hio track bana

[Chorus: Sewersydaa]

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

[Verse 1: Mr Right]

Saa hii tunawacheki na telescope, tell a cop tuko on
Hotbox wakicome tunateleport, fly kama airport
Fly down imma telephone
Hii watch ni fly

Death by episkeleton, M-R a di general
If you dont know wananiitanga chief
Kobe Bryant mi hurusha ma-swish
Nikidai kuianza slim, lunch mi huchapa ka ugali na fish

Nimewashika Buruburu mTish
Money kwa table usicheze na dish
Hizi stuff hazishiki bro, ska-skank tunawasha na shish
Kwa ground tunatoka tu ni kuomoka

Sling tunaspin kwa hii view ka mortar
Nilikuwa captured nimetoka
Story za cell pia nimechoka
Mpoa wangu anawhine ni mtop

Anaget down chini hauskii naokota
Ni mfine anapenda masilver, empress wangu hapendangi macopper

[Chorus: Sewersydaa]

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

[Verse 2: Sewersydaa]

Huyo mrazi anadhani simuoni na ni mi ndio niko na aerial view
Shida zako na own it though hakuna mercy hapo utajipata unachew
Matarehe hazisongi unaskuma mvua mbili ki-jokes jokes tu
Juu ya starehe andikiwa O.B

Na sitoi hongo tupatane court room
Tapo tunaingianga tukitoka
Hatukai sana undercover natoka
Bank ikishindwa kutukopa ambia mum akae rada ya mkoba

Rank unafaa ujue kusoma, usiulize ulize who is doper
Dance ni kama umetokwa, rap ni ka hio ndio mboka
Mawe ni kaa tatu, na usitake moja itoke kwa itoka (Pa! pa! pa!)
Sniper anatafuta poacher, huyo mshamba arudi ocha

Raiya inadai kuomoka, na MP’s watupwe mocha
Housing levy my shit, ghetto lazima kutoka

[Chorus: Sewersydaa]

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

[Verse 3: HR the Messenger]

Mi sinanga hasira, dredi juu nikizama marima
We ni mrasta aje na hudai kuririma, kwani unadai kutupima?
Huanga bad nikifika
Huanga rong niki-link na rende ya Umo ile nifla nifla

Kiatu kibla nikistepu, mzigo inaletwa tu hadi kwako
Msupa adai kuisample
Hanaku kuonja umeze uteme ufikishe ripoti kwa wenzako
Tulimpoteza kwa msako, tukashikania kamchango

Aliingia shimo la Tewa, vitu aliona hadi haezi sema
Woi! hallo, kuma hukunichafua roho
Kuma hukuachilia iende, kuna masugu ndani ya rende
Ah, woi, hallo, kamua maziwa bila salo

Amua nifike niko kwa baro
Amua nimalize ile kumalo malo malo

[Chorus: Sewersydaa]

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

Hot air rises, ndio maana mi huishi juu kwa floor
Tunawaonea mbali, kwa balcony ki-telescope
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop tuko on (Tuko on)
Tell a cop

YouTube player
Sewersydaa – Telescope Ft. Mr. Right & HR the Messenger

Produced by: HR The Messenger

Did you enjoy Sewersydaa featuring Mr Right & HR The Messenger’s “Telescope” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts