Lyrics > Sewersydaa – Zikishika Lyrics

Sewersydaa – Zikishika Lyrics

SewerSydaa - Mauru Unit
SewerSydaa - Mauru Unit

Listen to and read Sewersydaa – Zikishika Lyrics on Doba KE.

“Zikishika” is the 17th track on Sewersydaa’s Mauru Unit album.

Read Sewersydaa – Zikishika Lyrics

Uh-uh
Yo! yo! yo! yo!
Uh-uh
HR pump hio track bana

[Chorus]

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si yo! yo! yo!

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si baba yako

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si baba yako

[Verse 1]

Si nilikushow ukakataa kuskia
Ukadai huyo waiter umemjua toka last year
Ati una doh, na kuna vile unaskia—
Kutoka kwa hii baesa without your liver

Hakuna form hapa acha kujiingiza
Ati ooh mara Sewer nimeanza kuwa-hinder
Natoa rizzla, kujiapatia bizna
Kuangalia nyuma bro wangu ashaibiwa

Macho utat, huku zinashikwa
Na kuna mtu ameenda kuzikuta kwa duka
Uncle una-chomanga picha
Hata kaa uko nayo wacha kuimulikisha

[Chorus]

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si baba yako

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si baba yako

[Verse 2]

Sumu si supu nshajakatia chimba
Shot ya nzakwa na akadai ana mimba
Shot after shot mbeshtenge akazima
Wife akim-call too much noise naizima

Lima yangu mi huchukulianga Zimmer
Tuko high tukinyanya huko juu kwa milima
Jeshi ni ya maziwa na tumetoka Sewer
Walai tuko all over huezi hata jua rima

Mbleina si humpima, kesi zihuisha
Hatutambuangi afisa na hatuezi mlambisha
Hater si humpita, hatupendangi picha
Ambia hao madenge waache kumulikisha

[Chorus]

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si yo-yo-yo

Kaa zimeshika usishike simu yako
Kaa uko njiste mtu wangu si siku yako
Uko ndani ya system haukukula vako
Princess treatment mi si baba yako

YouTube player
SewerSydaa – Zikishika

Produced by: HR The Messenger


Did you enjoy Sewersydaa’s “Zikishika” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts