Skillo – Don Touch Lyrics
Listen and read Skillo – Don Touch Lyrics on Doba KE.
“Don Touch” is the fifth song from Skillo’s new album, The Rong Don 2.
Read Skillo – Don Touch Lyrics
[Intro]
Young Monty, you wildin’
Wednesday
Naeza enda na chupa
Naeza enda na msupa
Hata sitakukumbuka
Hata sitakuvuruga
But do not touch my gunga
Don touch
[Verse 1]
Niko green na white kama sisal, nawin ma fight kama Tyson
Naspit, nabite kama python, sizidi na tides mi ni cyclone
Bidii na ?? siwa-involve, ni dimwai na ni wa ingo
Shika jil umwai na sikudai more, si-snitch na write na ni typo
Pimp my ride kwa Izzo, nishatint my ndai, acha izo
Kitu mi sidai ni ma Five-O, tip bribe kamata hii doh
Mi ni ka masti, nikirudi unafaa kufurahi
Kitu mi sitaki, ni maswali za u-bladifakin
[Chorus]
Naeza enda na chupa, naeza enda na msupa
Hata sitakuvuruga, hata sitakukumbuka
But do not touch my gunga
Do not touch my gunga
Naeza enda na chupa, naeza enda na msupa
Hata sitakuvuruga, hata sitakukumbuka
But do not touch my gunga
Do not touch my gunga
[Verse 2]
Huyo peng ni wa highway, buy Soddom ama atakuunguza
Lakini mali fika ibe, mi situmiangi ni za kuuza
Go down by the rive, hii area yangu si ya kuvuta
Eti za finje finje, bado unazungumzia gunga
Nyi bado mnabonga kuhusu vitu hamuezi dhubutu
Vitu mi hu-do hata siezi jaribu kurap kuhusu
Nisipokuwa mahabusu nitapigwa marufuku YouTube
Hii si kukushoot ah ah, ni mguu ya kuku ya ku-ku-ku-kula
[Chorus]
Naeza enda na chupa, naeza enda na msupa
Hata sitakukumbuka, hata sitakuvuruga
But do not touch my gunga
Do not touch my gunga
Naeza enda na chupa, naeza enda na msupa
Hata sitakukumbuka, hata sitakuvuruga
But do not touch my gunga
Do not touch my gunga
Wednesday
Young Monty, you wildin’
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

