Lyrics > Spoiler 4T3 – Skele Woo Lyrics

Spoiler 4T3 – Skele Woo Lyrics

Spoiler - Skele Woo Lyrics
Screengrab, "Skele Woo" by Spoiler 4T3, YouTube.

Listen and read Spoiler 4T3 – Skele Woo Lyrics on Doba KE.

Produced by Soundkraft, Spoiler 4T3 gives his fans a fun dance song in his signature delivery in “Skele Woo.”

Since its release, the song has gained popularity, amassing over 1.2 million views.

Read Spoiler 4T3 – Skele Woo Lyrics

[Intro]

4, 4, 4, 4-3, 4
Ey, tuko na Like a Boss
Like a—, Like a—
Like a Boss

[Refrain]

Tuko juu ya kana—, hapa nakosa kudim leta
Leta ufala hapa utakula maviding
Unaeza dhani tumebonda kumbe joh ni taxin, ati
Upepo Runda, upepo ni ya—

[Chorus]

Hapo unaskia ni skele woo, stingo ni Scooby Doo
Zako zikianza kushuka zinapandishwa juu
Piga piga kale ka-move mi hukuja mi hu-Kung Fu
Ati, na ikikubamba gotha tena toka—

Hapo unaskia ni skele woo, stingo ni Scooby Doo
Zako zikianza kushuka zinapandishwa juu
Piga piga kale ka-move mi hukuja mi hu-Kung Fu
Ati, na ikikubamba gotha tena toka juu

[Verse 1]

Hapa unaskia ni Skele Woo
Aluta inatuonesha turushe miguu
Vile vile zimeturaru tunaskia tuko majuu
Steam steam zikipanda tunashukisha na mamoves

Nipe kale ka—

So tuko loaded, strapped kama foreign
Naifanya leo si hatungojangi hadi shoke, na—
Na ikikubamba ambia selekta jo agothe, na—
Kakikubamba tupa lugha, tupa lugha

So si ulete hapa za ku dim dim dim dim, washa ki- ay
Tempo ni ya Natty hapa tempo yo hubamba sana ukiwa
Jing jing jing jing, gomba kashata
Hadi ashavaa mdagi mdagi

[Chorus]

Hapo unaskia ni skele woo, stingo ni Scooby Doo
Zako zikianza kushuka zinapandishwa juu
Piga piga kale ka-move mi hukuja mi hu-Kung Fu
Ati, na ikikubamba gotha tena toka—

Hapo unaskia ni skele woo, stingo ni Scooby Doo
Zako zikianza kushuka zinapandishwa juu
Piga piga kale ka-move mi hukuja mi hu-Kung Fu
Ati, na ikikubamba gotha tena toka juu

[Verse 2]

Ting-a-ling a-ling Like a Boss anaring
Hapa kuinzagi ndani gate pass ni kajing
Naskia hakuezi bamba bila bila bila 4-3
Doba doba ni za kitopa siezi kosa kwa ma—

Hapa hakukaliki tuko masteam walai na—
Na hatujifichi tunafanyanga vulai
Tumepandisia digaga tu ndio tufiche white
Juu tuko, juu tuko, juu tuko juu ya kana—

[Refrain]

Tuko juu ya kana—, hapa nakosa kudim leta
Leta ufala hapa utakula maviding
Unaeza dhani tumebonda kumbe joh ni taxin, ati
Upepo Runda, upepo ni ya—

[Chorus]

Hapo unaskia ni skele woo, stingo ni Scooby Doo
Zako zikianza kushuka zinapandishwa juu
Piga piga kale ka-move mi hukuja mi hu-Kung Fu
Ati, na ikikubamba gotha tena toka—

Hapo unaskia ni skele woo, stingo ni Scooby Doo
Zako zikianza kushuka zinapandishwa juu
Piga piga kale ka-move mi hukuja mi hu-Kung Fu
Ati, na ikikubamba gotha tena toka juu

YouTube player
Spoiler 4T3 – Skele Woo

Produced by: Soundkraft

Dancers: Kiserian Finest, Milly Shirleen, Mweshy & Dark.Lemor

Did you enjoy Spoiler’s “Skelo Woo” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts