Ssaru – BAD Lyrics Ft. Tipsy Gee & Masauti

Listen and read Ssaru – BAD Lyrics Ft. Tipsy Gee & Masauti on Doba KE.
In “BAD,” Ssaru and Tipsy Gee trade bars on the verses while Masauti complements them with smooth melodies in the chorus.
“Bad” marks the first collaboration between the trio.
Read Ssaru – BAD Lyrics Ft. Tipsy Gee & Masauti
[Verse 1: Ssaru, Tipsy Gee]
Asalam aleikum, watu wangu wa kwetu
Nyi’ mko mavitu zenu si tumekuja na zetu
Naomba kwanza settle, nikurudishe ghetto
Huko kwetu mangoto hadi meno zote metal
Tension, mi hutembea na watu tano mental
Mention, ganji ndio inafanyanga tusettle
Question, nini ingine ka si doh kwa mbosho
Inatulizanga roho na inatesa ka kibomb
Taliban ni haram, siku hizi naitwanga madam
Mahadam mahanjam vuta gum laza damu
What a gwan ni salamu kwenye gram ama gwan
Mama Lao kwa game siku hizi wananiita kamum
Taliban kaharam lakini kwangu halal
Mi nakatajanga mum kaniitaja ati papi
Daddy, mi ndio nafanyanga kanac*m
Once twice nishasoma game, its my time to play
[Chorus: Masauti]
Aaaah, aaaah, aaaah
I’m badder than bad (bad bad bad)
Aaaah, aaaah, aaaah
I’m badder than bad (bad bad bad)
[Verse 2: Ssaru, Tipsy Gee]
Kwanza pigwa distress ju in this case mi ndio mistress
Unaeza tell the difference ju ya influence mi ni different
Naeza kuwa your preference, ju ushakuwa of interest
Catch me kwenye internet, ni attacking bila defence
My mistress my empress, 10/10 we ndio preference
Nilikucheki pintrest, ukiwa topless ukani-interest
The prettiest the tittiest, the best I’ve ever seen yet
Nimependa zako assets, I’m ready joh ku-taste them
Haka katoto ka juzi kana ujuzi wa mambuzi
Bado hakajakata nyuzi ndo kanawaconfuse
Ukali sipunguzi, fanyeni uchunguzi
Drop a beat step aside, let me kill we’ accuse
Naskia wameanza matusi watu niliona mambuzi
Sa ni ma letter ‘P,’ namalizia na ‘ussy’
Usiniadvice hata ka nimekuja juzi
Tipsy nikiwa kwa ngoma mi ndio the mchuzi
[Chorus: Masauti]
Aaaah, aaaah, aaaah
I’m badder than bad (bad bad bad)
Aaaah, aaaah, aaaah
I’m badder than bad (bad bad bad)
PRODUCED BY: ZJ
SHOT BY: LOZH
DRONE PILOT: BENJIE BILLIE
Did you enjoy Ssaru featuring Tipsy Gee & Masauti’s “BAD” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.