Lyrics > Ssaru – Spy App Lyrics Ft. Domani Munga & Khaligraph Jones

Ssaru – Spy App Lyrics Ft. Domani Munga & Khaligraph Jones

Ssaru - Spy App Lyrics Ft. Domani Munga & Khaligraph
Domani Munga, Ssaru & Khaligraph

Listen and read Ssaru – Spy App Lyrics Ft. Domani Munga & Khaligraph Jones on Doba KE.

Off her debut EP Queen Of Genge, “Spy App” marks the first collaboration between Ssaru, Domani Munga, and Khaligraph. The track explores themes of infidelity, highlighting how it drives people to spy on their partners. In the chorus, Ssaru emphasizes this sentiment, “You will find what you are looking for.”

Domani, the clear fan favorite, delivers a catchy hook and witty verse that includes an interpolation of Dolly Parton‘s 1973 hit “Jolene,” before Khaligraph brings the track to a close with his dope verse.

Read Ssaru – Spy App Lyrics Ft. Domani Munga & Khaligraph Jones

Badness
Line, hapangingi line
Mwenye kisima hapangingi line, hapangingi line
Mwenye kisima hapangingi line, hapangingi line
Vic, twende

[Chorus 1: Domani Munga]

Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner

[Chorus 2: Ssaru]

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata

[Verse 1: Ssaru]

Natafuta app, ya kujua Whatsapp
We’ chakura IG maliza ingia WhatsApp
Nategea githaa zako, zile za kupiga nap
Nachokora hizo app, zitanipata hadi kwa map

Cheki niko app to spy on your partner
Up to the sky, kuna drone inakufuata na—
Hapa kwa hapa naona mahaga we unataka
Ndogo ndogo, bigi bigi, doshi unavuka mipaka

Lazima nidigi juu niko na bigi
Waambie wasupa wako ukija jiji mi ndo bibi
Naidigi, naidigi, naidigida kwa wingi
Na nikidigi nduru haitoshi hapa unapiga hadi firimbi

[Chorus 1: Domani Munga]

Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner

[Chorus 2: Ssaru]

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata

[Verse 2: Domani Munga]

Ninachanga kuchanganya ma bale na chang’aa juu ya balenciaga
Chang’aa kwa canter, Kirigiti to Kirinyaga
Aaah, aah, oouu aaah, mi ni chali wa hookups
Nina madem Kilimani to B Center Mr. Munga

Njaro deadly ngori since mazza was younger
Hadi line ya VCT nakuitisha number
Hakuna cha credit ukiniscratch ntakubamba
Naskia mbinguni tunapata mwili mpya, kwa baba

Jolene, Jolene, Jolene, Joleeene
Nakuwanga handsome nikitaka
Jolene, Jolene, Jolene, Joleeene
Spy app ntakushika, ntakushika

[Chorus 1: Domani Munga]

Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner

[Chorus 2: Ssaru]

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata

Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app, kile unatafuta utakipata

[Verse 3: Khaligraph Jones]

Wewe, funika cleavage sitaki nilete zogo
Good features zitajichora ndani ya rinda
Nilienda Tz kujitafutia goshodo
Nairobi peng’s ni mali but wanaringa

Kwa hii city saa hii ni risky kutesa
Ndo upewe mbana unatoa za whisky na chaser
Soon as dem amekuwa tipsy ni refa
Na-Rash-foward like she took a trip to UEFA

Soccer mums get the D then ni peace sign
Staki spy ananispy kama suspect
Interest muhimu so ikidecline
Then definitely i’mma treat you like my last ex

Jibu zero, no response kwa daro
Uliza pius ju mi huiroll na maDon Kamaru
Who’s the hero, block mambaru
Ndio nimebring Yujiro, of course na Ssaru

CCTV inapigia Khali surveillance
Spy ndo reason shawty hakosangi ma Rayban
Try asinitukane kwa jirani maneighbors
Pride isikufanye we’ ulale mteja

YouTube player
Ssaru – Spy App Ft. Domani Munga & Khaligraph Jones

Produced by: Vic West

Video directed by: Lozh


Did you enjoy Ssaru featuring Domani Munga and Khaligraph Jones’ “Spy App” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts