Lyrics > Tasha Fears – Kamau Lyrics

Tasha Fears – Kamau Lyrics

Tasha Fears - Kamau Lyrics

Listen and read Tasha Fears – Kamau Lyrics on Doba KE.

In “Kamau,” Tasha Fears tells the story of her soulmate whose love unraveled through infidelity.

She reflects on the bliss they once shared, the turning point that changed everything, and ultimately declares in the chorus that he should stay away.

Read Tasha Fears – Kamau Lyrics

Ayayayaaa aah aah

[Verse 1]

Kwani jana ulikuwa wapi nimeshinda nikikutafuta
U hali gani sijakuona kwa muda
Hebu keti chini tunafaa kuzungumza
Hadi majirani wanasema uko na shida

Wanasema mi sifai kuwa na wewe coz you lie
Unavutanga mangwai ukiteka kina sly
Jana ulikuwa na Foi kwa keja ya kina Kyle
Akikupa na mastyles and you did it for a while

Ati nini ako nayo yenye mimi sina
You tell me that she does your laundry she gon’ be your wife
You tell me you don’t want me I was never worth your time
She does it better than me when she takes you for a ride

She does whatever you want her to do just for your pride
She feeds your ego boy you know I’d never do that

[Chorus]

Ayayayaa aah, tuiretu nitugukuthiria
(Wasichana watakumaliza)
Tigana na nii, tigana na nii, tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone, leave me alone, my Kamau)
Tigana na nii, tigana na nii, tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone, leave me alone, my Kamau)

aaah

[Verse 2]

Kamau, tajira twakinyire haha atya ulianza na dharau
(Kamau, niambie tulifika hapa aje, ilianza na dharau)
Unginjiira dunyendete niguo menye angalau
(Ungeniambia hunipendi ndio nikae nikijua)
Ngithii mucii ngiira aciari uhoro waku wee Kamau
(Nikaenda hadi nyumbani kuambia wazazi wangu kukuhusu, wee Kamau)
Ikawaje my Kamau, never knew real you somehow

You betrayed my love kamau
My Kamau, tigana na nii
(My Kamau, leave me alone)

[Chorus]

Ayayayaa aah, tuiretu nitugukuthiria
(Wasichana watakumaliza)
Tigana na nii, tigana na nii, tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone, leave me alone, my Kamau)
Tigana na nii, tigana na nii, tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone, leave me alone, my Kamau)

[Outro]

Ayayayaa aah, tuiretu nitugukuthiria
(Wasichana watakumaliza)
Tigana na nii, tigana na nii, tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone, leave me alone, my Kamau)

YouTube player
Tasha Fears – Kamau

Produced by: Nescalito on the Beat

Did you enjoy Tasha Fears’ “Kamau” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts