Lyrics > Toxic Lyrikali – BackBencher Lyrics Ft. Countree Hype

Toxic Lyrikali – BackBencher Lyrics Ft. Countree Hype

Toxic Lyrikali - BackBencher Lyrics Ft. Countree Hype
Screengrab, "BackBencher" by Toxic Lyrikali, YouTube.

Listen and read Toxic Lyrikali – BackBencher Lyrics Ft. Countree Hype on Doba KE.

Produced by Jamaican producer Countree Hype, Toxic Lyrikali continues his streak of hot releases with “BackBencher.” The song is off the 2024 Fast and Furious Riddim, set on the premise of the Fast and Furious movie franchise.

The riddim features songs by artists such as Roze Don, Teebone, Jahvillani, Mugs, Eddy G Bomba, and more.

Read Toxic Lyrikali – BackBencher Lyrics Ft. Countree Hype

Countree Hype Music
Man a D
Mboka, hmm
Mboka Doba

Eeeh, skiza, krrr!

[Verse 1]

Venye nawa-view, angle ni ya side mirror
Ka ki-lorry nimejibebea majicha
Pigwa sanifing bado usipomakinika
Usigoe mras skuma gunga hadi rehab

Country nipige hype nitrace mamita
Jamdown, na nijipin itoka tisa
Number ni jamo bado sijai badilisha
Labda mtaa ndio niwang’oree na class

[Chorus]

Chuo tuliwai E, saa hii nawazoza na S Class (GLE)
Stima ka Tesla, maGoat mi ndio shepherd
Chauffer sidai, safari najipeleka
S Class, S Class, S Class, one way

Convoy ndai inaongoza ni Defender
Strangers zii, strictly inakuwanga members
Backbencher, ndani ya S Class
Backbencher, ndani ya S Class

[Bridge]

Ndula zero mileage, ndai speedometer inachezea two-sixty
Samahani kwa wenye wako kwa njikli
Role ikijipa model ananidigi
Naeza jitengenezea biz na bidii

Ndula zero mileage, ndai speedometer inachezea two-sixty
Samahani kwa wenye wako kwa njikli
Role ikijipa model ananidigi
Naeza jitengenezea biz na bidii

[Verse 2]

Chase cash bila shortcut
But roadi ikiwa na jam natumia wrong turn
Very sure hatuwezi crash, S Class
Kigonyi amepitishiwa steam akabonda

Natumia kama trojan kwa madem zao kuwavulia toja
Dirisha zikuwe top ni-hotbox na maboza
Kabaridi ni warm up
Full tank namedi kuzoza long term

[Chorus]

Chuo tuliwai E, saa hii nawazoza na S Class (GLE)
Stima ka Tesla, maGoat mi ndio shepherd
Chauffer sidai, safari najipeleka
S Class, S Class, S Class, one way

Convoy ndai inaongoza ni Defender
Strangers zii, strictly inakuwanga members
Backbencher, ndani ya S Class
Backbencher, ndani ya S Class

[Verse 3]

Ukizua, utararuliwa rectum
Ficha your mum unaeza skia mi ndio step dad
Diss me nikufanyie disinfectant
Ni ma Peptang, pe-pe-pe-pe-pe-ta!

Nawapita unaezadhani hawakuwa in motion
Wekeza mbona unaweka emotions
Ningekuwa Adi ticha Mboka Doba ndio motto
Anyway, Kayole si ni hao Portmore

[Verse 4: Toxic Lyrikali]

Venye nawa-view, angle ni ya side mirror
Ka ki-lorry nimejibebea majicha
Pigwa sanifing bado usipomakinika
Usigoe mras skuma gunga hadi rehab

Country nipige hype nitrace mamita
Jamdown, na nijipin itoka tisa
Number ni jamo nado sijai badilisha
Labda mtaa ndio niwang’oree na class

Chuo tuliwai E

YouTube player
Toxic Lyrikali – BackBencher Ft. Countree Hype

Produced by: Countree Hype

Mixed & Mastered by: vlmightysos

Video directed by: TN Zethy


Did you enjoy Toxic Lyrikali featuring Countree Hype’s “BackBencher” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts