Toxic Lyrikali – Chinje Lyrics
Listen and read Toxic Lyrikali – Chinje Lyrics on Doba KE.
In what appears to have been a great year musically, Toxic Lyrikaly released “Chinje” to much fanfare. Within a short time, the music video garnered 20,000 views on YouTube.
Although controversial, as he is seen holding a machete in the music video, the song has gained much traction. It continues to prove why he is an artist to watch.
“Chinje,” which means “to go on a rampage,” follows “CARTMAN,” which was released in early October.
Read Toxic Lyrikali – Chinje Lyrics
Yoh Dre
Stevie
Mboka, mboka doba
[Chorus]
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio, kuna vile tutakatsiana
Ni head bad nilimkataa akanipoint na panga
Niko na yangu naona tukikatiana
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
[Verse 1]
Sikuwa na thiang kaingia chinje
Packe nikiwa mabob haiezi kafanya nichange
Wanted, never me, najua kuishi na wasee
Sanse nampace, utadhani ni senke
Denge, chinja chinja maliza ulelee
Sembe, finya finya ndio nisqueeze mwere
Tenje, screen clear lazima itoshee
Mwere, siezi achana na ye’ aende
Niko sober naskia, lakini si poa
Ntaskia poa nikianza kukohoa
Inakubalika wakituona wanajiondoa
Tudum, cheki nguo ungekuwa ushaanza kutoa
Si ni mabuda kwa biz ka barber tunawanyoa
Luku diriba tisho ya madoadoa
Ni mpoa akinikiss ndio napoa ka nimejam
Chali yake alinithigitha mi naye ndio namng’oa
Rive imepasuka cheki inaoverflow
Ka ni videvu narusha ka Tyso
Mali ni chwani lakini kata hii soo
Si ndo wale tulichora makwela kwa blackboard
Siezi medi baze na kuna morio asidi
We ni fala umejipimp, bado we ni pimbi
Niko na mbling tatu moja ndo iko na risiti
Cheki chuom, ingia chuom, karibu ofisi
[Chorus]
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio, kuna vile tutakatsiana
Ni head bad nilimkataa akanipoint na panga
Niko na yangu naona tukikatiana
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
[Verse 2]
Short call serious biz, long call huwa ni mafi
Pita mandazi mandazi upate chai
No smile namedi na mtiaji
Sometimes siezi furahi na bado sijakufry
My guy step moss moss, moss moss
Boss naeza kosa kuo—, naeza kosa kuona kesho
Niki F kina-choke bila filtration
Kesho, ile thiang inaingia soko
Imerust, hakuna kushona ni tetanus
Bei ni mweru lakini asset ni second hand
Mabunde tumejibebea mapepetaa
Staki ngori mob siezi force mambo ka hazi-run
[Chorus]
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio, kuna vile tutakatsiana
Ni head bad nilimkataa akanipoint na panga
Niko na yangu naona tukikatiana
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
[Chorus 2]
Stoner hakosi na ako juu ya dimanga
Shika morio, kuna vile tutakatsiana
Ni head bad nilimkataa akanipoint na panga
Mtazamaji cheki tukikatiana
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
Staki ngori mob, staki hoe staki ka si raw
Skuji kaa si doh, kaa si ndom inafanya nafloat
Produced by: DreBarnesBeatz
Mixed & Mastered by: Beat Kidd
Video Directed by: Ronxx
Did you enjoy Toxic Lyrikali’s “Chinje” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.