Toxic Lyrikali – Stone Lyrics Ft. Countree Hype
Mana, mana, mana
Mana, mana, Man a T
Hmm, mboka doba
Countree hype music
[Chorus]
Napatanga punchline nikistone
Ni ka ni bating, nishakisanif, nishakingati
Siko safari but natrip na kibarbie
Niko majani, alo alo
Punchline nikistone
Ni ka ni bating, nishakisanif, nishakingati
Siko safari but natrip na kibarbie
Niko majani, alooo!
[Verse]
Dawa ya moto ni moto, akinikulia moto namchoma
Namtandaza namwacha kwa bedi dormant
First priority itabaki kuwa dollar
FYI siezi kaa na informer
Sijang’ara za loan, wanang’am hii doh
Najitaftia solo, mi ni loner
But niko na mbogi itakusundua ukiningora
Fully active kuna malines nachora
Underground na mahasira anaroga so anakaa mudfish
Diss, zote qualified as disgusting
Tukitoka bumbrush ni after party
Tukibumburua ilikuwa ni practice
Dem ndeng’a mamunju akitaka chuma plus stick
Darkskin lakini figure imetoka Spanish
9 to 5 shingoni mboka tulihepa matrix
Vile anasambaza ni ka ameivia matricks, mmh
Niliosha mwere soo nikageuka opp
Theres a lot in my parking lot
Nimefanya a lot
Lakini siezi thubutu kurudi nyuma naogopa kugeuka salt
Naeza kuzamisha chunga nimejaa float
Kaa sina doh siezi maintain indoors
Ukinimblein nafunga mambo yako haijalishi ka tulikuwa close
Hii ni real life ni charjie si soap
Unanifuata kama bee nilimshow nitamshikia mzinga
Reverse psychology na minya haezi ninyima
Collabo unaeza wai ni venye nimejificha
Lyrically ill bila tiba
Ukiona GLE East hutaniona lakini mi ndio owner
Rusha mawe baadaye ukiwa umemeza baking soda
Ni ka ni laana 4 mbao nawai focus
Venye naball saii ghetto wananiita baller, donga
Macharjie bado wananiita mkora
Mkia kwa pori ya nyuma ndio nieke mbele mola
Nimejaza ma ex nime-explore kama Dora
I told her so nguna usiniletee za utoddler
[Chorus]
Punchline nikistone
Ni ka ni bating, nishakisanif, nishakingati
Siko safari but natrip na kibarbie
Niko majani, alo alo (ABH Sound baby)
Punchline nikistone
Ni ka ni bating, nishakisanif, nishakingati
Siko safari but natrip na kibarbie
Niko majani, alooo!
Mixed & Mastered by: ABH Sound
Video directed by: King Khassidy
