Lyrics > Wakadinali – Maproso Lyrics Ft. Suzanna Owiyo

Wakadinali – Maproso Lyrics Ft. Suzanna Owiyo

Wakadinali - Maproso Ft. Suzanna Owiyo
Screengrab, "Maproso" by Wakadinali featuring Suzanna Owiyo, YouTube.

Listen and read Wakadinali – Maproso Lyrics Ft. Suzanna Owiyo on Doba KE.

Produced by Dillie, “Maproso” is about a girl who unexpectedly ended a relationship and left.

According to Scar Mkadinali, the song was written in 2008 and recorded in 2024.

Read Wakadinali – Maproso Lyrics Ft. Suzanna Owiyo

Dillie
Big beats Afriq

[Verse 1: Domani Munga]

Na kwani mi najuta, balaa gani iliyonikumba mimi
Nilikuwa naye mchumba wangu aliyeitwa Maproso
Nilimuahidi ndoa ya kifahari
Mapumziko yetu yangekuweko Mombatha

Kama ni manyumba na magari ningempa
Ila siku ya harusi, Maproso kanitoroka
Kaniibia hela na vifaa vyenye dhamana
Nikapigwa butwaa, moyo ukanifunguka

Oooh Maproso, mbona umeamua kunifanyia hivi mamaa
Mbona umeamua kuniua mi mapemaa
Nilikupenda sana moyoni wewe wajua
Ukapigwa butwaa, moyo ukanifunguka

[Chorus: Suzanna Owiyo]

Hera okdwar koko
Hera okdwara chaye
Hera dwaro kuey
Hera dwaro kuey

Hera okdwar koko
Hera okdwara chaye
Hera dwaro kuey
Hera dwaro kuey

[Verse 2: Sewersydaa]

Kesho itakam na nini, now that uliniachia mkidi?
Nilijuanga we ni mthigithi, but sikudhani itawai kuwa ivi
Mkono stingy haijawahi kuwa mimi, na joh sipendangi vipindi
Kwa kikao ni vitimbi, na ulikuwa ukiitwa hauitiki

In the beginning God created Eve to deceive me
Companion sipingi, na ka ni biz ni dingli
Pay bill yako si mimi, na ujiekee hizo risiti
Trees zinanicallingi, na ni ka nitaongeza wa pili

Siku hizi nanyonga neck ya whisky
Huskii nachapa ndom na haishiki, yo
Nakam home sipiki, of course joh sidishi
Zamani ulikuwa mclingy, saii ni ningi ningi ningi

Sili, yoh!

[Bridge: Suzanna Owiyo]

Mapenzi dwaro respect (respect)
Mapenzi dwaro assurance (assurance)
Mapenzi dwaro endurance (endurance)
Hera, hera engi maber

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Kwani hujui, niko harakati ya shughuli
Mi nangoja maembe iive hao wanaikula mbichi na chumvi
Hashiki simu zako chali yake wa Saudi amerudi
Siamini shida zako zote ni ju ya dem ana duri

Ah, situvai mangwai, anadai nimbuy-ie buy-ie
Sijai mtoa ngotha walai bilai, labda ikiwaga kwa hanging line
Mambo ya magoshodo sidai, niliamua bolingo ni ya ngai
Nikiwa na wewe natumia maganji, pesa inabaki ma zero baadaye

Ah, aliclick na clique, ni mi nilimtoa kwa street
Picnic tulitake mapics, mpaka wakadai Scar de anasimp
Jumper ya Rong Rende ya pink, yawa setere trips
Kinembe, keja istink, sikujua denge angeflip

[Chorus: Suzanna Owiyo]

Hera okdwar koko
Hera okdwara chaye
Hera dwaro kuey
Hera dwaro kuey

Hera okdwar koko
Hera okdwara chaye
Hera dwaro kuey
Hera dwaro kuey

[Outro: Domani Munga]

Na kwani mi najuta, balaa gani iliyonikumba mimi
Nilikuwa naye mchumba wangu aliyeitwa Maproso
Nilimuahidi ndoa ya kifahari
Mapumziko yetu yangekuweko Mombatha

Kama ni manyumba na magari ningempa
Ila siku ya harusi, Maproso kanitoroka
Kaniibia hela na vifaa vyenye dhamana
Nikapigwa butwa, moyo ukanifunguka

Oooh Maproso, mbona umeamua kunifanyia hivi mamaa

YouTube player
Wakadinali – “Maproso” Ft Suzanna Owiyo

Produced by: Dillie

Video directed by: The Black Jurist

Recorded, Mixed and Mastered by: Ares66 (Big Beats Afriq)


Did you enjoy Wakadinali featuring Suzanna Owiyo’s “Maproso” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts