Lyrics > Wakadinali – Za Kimotho Lyrics

Wakadinali – Za Kimotho Lyrics

Wakadinali - Za Kimotho Lyrics

Listen and read Wakadinali – Za Kimotho Lyrics on Doba KE.

“Za Kimotho” is the tenth song on Wakadinali’s Victims of Madness 2.0 album.

Read Wakadinali – Za Kimotho Lyrics

Big Beats Afriq

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Ndranya mi nawomborr Mona Lisa
Hatuko kwa misa utadhani kanisa
Jazana ni ka tuko kwa Nissan
Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan

Ndranya mi nawomborr Mona Lisa
Hatuko kwa misa utadhani kanisa
Jazana ni ka tuko kwa Nissan
Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan

[Chorus: Domani Munga]

Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho
Za kimotho, za kimotho, za kimotho, kisparki
Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho
Za kimotho, za kimotho, kisparki, za kimotho

[Verse 1: Domani Munga]

Zangu gym na ni grizzling
Hadi simu number itakushow ever busy
I’m like peas in the pods, siku hizi ni mabizna on rotation (He-he-he)
Busy bee, mtu wangu hata haunanga bibi umeshindwa na machizi

Nguna kwangu we’ ni madam I hope unang’am
Story zangu umeskiza isn’t a false alarm
Rakan Kaminya, Rakan Kaminya, denge ka ni peng inabidi nakafinya
Sizizaski ka si mristi we’ utajitoa, PIMP wake akaniuliza umetibiwa poa?

Chics camping Lang’ata huko rowe
Rao, senior citizen akalia “aaaahhh”
(Chics camping Lang’ata huko rowe)
(Rao, senior citizen akalia “aaaahhh”)

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Ndranya mi nawomborr Mona Lisa
Hatuko kwa misa utadhani kanisa
Jazana ni ka tuko kwa Nissan
Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan

Ndranya mi nawomborr Mona Lisa
Hatuko kwa misa utadhani kanisa
Jazana ni ka tuko kwa Nissan
Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan

[Chorus: Domani Munga]

Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho
Za kimotho, za kimotho, za kimotho, kisparki
Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho
Za kimotho, za kimotho, kisparki, za kimotho

[Verse 2: Sewersydaa]

Nat is up on the rock nikiskizia kicongo
Sanif’d by yours truly, Mr Odongo
Usikuwe na za ovyo, cheki kando usichongoe chongo
Bado f-ck mapopo na ni nani ana-oppose yoh!

Ita Uber bas, public figure situmii Nissan
Na sitembeangi na mask nishajua kumonitor Lizards
Ushaijipata imeshika hadi ukaskia kutoa mpira
Usiwahi, ka hutaki kuwa mziza

Makarao, hawakucheki fiti
Hawakujua niko na safe hadi kwa ceiling
“Hi, hi” hivi, siwapatii hata shilling
Ka ni perfect we’ jua imepitia mawhips mingi

Siblinkingi mimi tunakodoa ni ka tuko meeting
Ka nilikufunza kufish kwa pond yangu unafanya nini?
Desparate ile design uko na ounce hauna zigi
Hauna bro hauna siz, we’ ndio the only kiddy

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Ndranya mi nawomborr Mona Lisa
Hatuko kwa misa utadhani kanisa
Jazana ni ka tuko kwa Nissan
Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan

Ndranya mi nawomborr Mona Lisa
Hatuko kwa misa utadhani kanisa
Jazana ni ka tuko kwa Nissan
Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan

[Chorus: Domani Munga]

Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho
Za kimotho, za kimotho, za kimotho, kisparki
Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho
Za kimotho, za kimotho, kisparki, za kimotho

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Gotha tena, alafu pause
Ukisonga wa kwanza unatoa soo
Baki hapo ni ka umekula kiapo
Bonga shit na niende na key ya choo

Beep mi ma’, si shida, eat dinner sipping that
Cheap liquor, D-ick jinga, hips zina— shi-shiver
Love you for the whole year, I am not a weak nigga
Bado mi naulizia, mnajua bei ya shekilla?

Aliuliza what happens if we go broke
I told him stay away from me with those jokes
Haloooo!, ngaus imefika
(Sshh! cheza chini bro, uko loud speaker)

DJ mmoja kila siku utakosa stress
Upige picha na gun, you don’t pose a threat
Vitu tunasell, zinatu-affect
Nampenda juu ya pussy amekuwa pet

Wakadinali – Za Kimotho

Produced by: Ares66

Video directed by: AntyVirus AV


Did you enjoy Wakadinali’s “Za Kimotho” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts