Watendawili – Hadi Kesho Lyrics

Listen and read Watendawili – Hadi Kesho Lyrics on Doba KE.
“Hadi Kesho” is a song about a fun night out filled with drinks and partying. It is the final track on Watendawili’s debut album, En Route, and the first to receive a music video.
Read Watendawili – Hadi Kesho Lyrics
[Verse 1: Ywaja Tajiri]
Mungu nisamehe
Ilikuwa niingie church kesho
Nikajipata kwa form ya kamnyweso
Saa hii bash imegeuka jam session
Niko lucky sina fiancée
Naweza rudi home any day
Na hii bash ina madenge
Na wengi wao joh ni malelee, jitetee
[Chorus: Israel Onyach]
Sijali, ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali
Sijali, ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali
[Post-Chorus: Ywaja Tajiri]
Tupige sherehe, hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe, hadi kesho
Tupige sherehe, hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe, hadi kesho
[Verse 2: Israel Onyach]
Mashashola kwa hewa
Na mangeus wamebeba
Wazuri wa Kisauni wamedunga madera
Leo ni kamagera
Juu ni lazima nitadandia dandia
Si unajua kwangu sherehe ni sheria
Kuna vile niko juu ya dunia
Cloud nine aki zimenilipukia
[Chorus: Israel Onyach]
Sijali, ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali
Sijali, ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali
[Post-Chorus: Ywaja Tajiri]
Tupige sherehe, hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe, hadi kesho
Tupige sherehe, hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe, hadi kesho
Produced by: Bassman
Video directed by: Ivan Odie
Did you enjoy Watendawili’s “Hadi Kesho” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.