4Mr Frank White – Njoraa Lyrics Ft. Kapitani & Virusi Mbaya
[Intro: 4Mr Frank White, Kapitani, (Virusi Mbaya)]
Uh
Back again
Inarecord kweli?
Iko bie, iko bie, iko bie, iko bie
Uh, skia
(Toinoke!)
[Chorus: 4Mr Frank White]
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
[Verse 1: 4Mr Frank White]
Mziki kwangu ndio the main hustle, sinanga side hustle
Nikisunda verse urushe cash, hapo
Wanaboronja tukilink wanadash juu ya makahasho
Wanjiita mbogi na kwa block wanakam hapo
Mbona unadash young fella kwani hutaki kuona njora
Kwa mneti wanayap lakini ground wananyora
Siku hizi siendi njei siku hizi nanusa macollar
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
Mbona unadash young fella kwani hutaki kuona njora
Kwa mneti wanayap lakini ground wananyora
Siku hizi siendi njei siku hizi nanusa macollar
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
[Chorus: 4Mr Frank White]
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
[Verse 2: Kapitani]
Mi niko mafutani kama tattoo haijapona
We hulala na madem mi danse nalala na corner
Jumper kwa ukuta ya dem umepanga kuoa
Mahali tunaskia jina yako tunaichongoa
Mi nikatie keki hizi bills hazijilipi
Tulipatana kwa matatu hata senke mi silipi
Nawaachia ju sitaki kupelekwa Kamiti
Nawaambia mara ya kwanza pili hapa si kurahisi
Mtatoka mtrr huskii ndio kumeanza kunyesha
Of course niko na kiburi mi ni fan wa Manchester
Pussy nigga hapana kalia kiti ya member
Lips zinasonga na siskii kenye unasema
Tuelewane hakuna bei inaitwa hatuwezi kosana
Mbleina hunijui, we unanionanga
Wanahate kijana mdogo akipanga mboka
Nashukisha loud na chapati choma
[Chorus: 4Mr Frank White]
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner
[Verse 3: Virusi Mbaya]
Zimenikashi zimetiripo hapo ndio sasa mi nimepona
Hakuna dashi tukiwa rikoo nilireform nikakuwa stoner
Utaekewa mchele ulale ndio ujue si wali bora
Hali si hali but si huwanga hali bora
Kuna place ukifika bro, punguza kung’ora
Hapa si Carnivore, hapa mic zote ni za wakora
Bado mi ni burglar hii usanii kwangu tu ni para
Upini ya tumbo naskia alimwaga Maasai mara
Unamwaga blood ukuwe crip, hatutambui color
Na si madharau bado morning tunakukumbuka kwa sala
Mr Rap ni old school, hii mziki ya robbery
Tuko kwa trap vi-old school, hii mziki hainanga forgery
Siezi blame your understanding
Najua inakuwanga very hard ku understand me
Alikuwa anafikiria nightrunning ni ya wachawi, hadi ile day walinichai
Kuna wenye wako night learning na matawi, na si majani ya chai