Ares66 – Diglo Lyrics
Listen and read Ares66 – Diglo Lyrics on Doba KE.
“Diglo” is the 14th song off Ares66’s debut album Gangsta Points. The word “Diglo,” a variation of the Sheng word “Digi,” loosely translates to “understand” or “know.”
Read Ares66 – Diglo Lyrics
Yoh! yoh! yoh!
They dont know me
A-A-A (A-A-A)
Aress
Aress 66 bruh
[Chorus]
Welcome to the New World
Order nayo ikitoka imetoka, vijana wako mboka
Ghetto life huwanga too wild
Borderline, manjege wanaogopa na ni kama wamechoka
Saa hii si mnadiglo, wanadai rende unruly
Saa hii si mnadiglo, venye njege hatuwatambui
[Verse 1]
Rada chafu ilibidi tumeingia ingia
Pigwa bafu fala alitusaidia na mokia
Mayout jobless hapo zabe ndo wanapandisia
Juu gava hitilafu ndo inazidi kutuibia ibia
But no fear, Ghetto life more years
Nawaingiza njeve ni ka wameshika pneumonia
Before pia tulikuwa tunasosia
Nawarudisha tenee ka tenje za Nokia
So broski anabonga experience
Tumepiga ma-scene tukiwa mtu mbili kwa Benz
So broski nikiwa usiwai tense
Na usiwai kubali hata ukishikwa na evidence
Alafu unaficha white, unapiga madigolo
Kama creatures of the night tunaingia round solo
Mtaani kuna fight, poverty inatufollow
Mpaka preachers wako right kuwaibia mpaka monyo
[Chorus]
Welcome to the New World
Order nayo ikitoka imetoka, vijana wako mboka
Ghetto life huwanga too wild
Borderline, manjege wanaogopa na ni kama wamechoka
Saa hii si mnadiglo, wanadai rende unruly
Saa hii si mnadiglo, venye njege hatuwatambui
[Verse 2]
Tumejihami na vifaa, kinena wanga vile inafaa
Fala aliponangwa kila kitu alikuwa amevaa
Alikuwa na bidhaa, manjeka zimewaka zimeng’aa
Haikuwangi tafadhali jeshi jinga iko njaa
Mbleina alinyongewa kwa chochee
Alikuwa amebeba tonje na tenjee
Dunga mpaka chama za wamathee
Kwanza wale wanabebanga vibenjee
Arif aling’ora muste
Siku hizi huko ghetto ndio ye’ hustay
Inabidi awabumburushe
Koto inatembea like everyday
Bado marima hanaku mariau
Nadai manche juu niko manyaru
Saa hii unadiglo, mtaa ni mathuau
Juu kila youtman anadai kukwachu
[Chorus]
Welcome to the New World
Order nayo ikitoka imetoka, vijana wako mboka
Ghetto life huwanga too wild
Borderline, manjege wanaogopa na ni kama wamechoka
Saa hii si mnadiglo, wanadai rende unruly
Saa hii si mnadiglo, venye njege hatuwatambui
Produced by: Ares66
Did you enjoy Ares66’s “Diglo” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

