Lyrics > Bien – Maandamano Lyrics Ft. Breeder LW

Bien – Maandamano Lyrics Ft. Breeder LW

Bien - Maandamano Lyrics Ft. Breeder LW
A scene from "Maandamano" music video

Listen and read Bien – Maandamano Lyrics Ft. Breeder LW on Doba KE. “Maandamano” is in response to the anti-finance bill and anti-government protests that engulfed Kenya in June/July 2024.

Produced by Hendrick Sam, Bien and Breeder link up to bring us this timeless song.

Read Bien – Maandamano Lyrics Ft. Breeder LW

[Intro: Uhuru Kenyatta Speech]

“…we have a youth…, that if not properly handled, can be a time bomb that can blow this country to pieces”

This is Hendrick Sam

[Verse 1: Bien]

Wanadhania si bongo lala
Ikikupita we bongo lala
Na waliosema jana haiwezi fika
Leo tuko ground tunazoza

Jiji kuu kumewaka sana
Na mabeast wanachafua rada
Na waliosema jana haiwezi fika
Leo tuko ground tunazoza

Ah, hakuna mboka
Wapeleke shuleni watasoma
Madaktari wamegoma
Hapa sa ni yesu atatuponya

Waambie punda imechoka sana
Farasi bado haijapatikana
Ni mandai wanagonya, na mali wanabonda
Unakonda wananona

[Chorus: Bien]

Maandamano (maandamano)
Maandamano (maandamano)
Ah mi say, maandamano (maandamano)
Maandamano (maandamano)

Mapambano (maandamano)
Maandamano (maandamano)
Mapambano (maandamano)
Bado mapambano (maandamano)

Big Baba!

[Verse 2: Breeder LW]

Independent 60 years, tuliambiwa ni self-rule
Billions on billions, tunaibiwa na the same crooks
Tunalipa madeni, hizo ndio ma-excuse
Hii ni Generation Z, hatuwezi make the same moves

Occupy parliament, twende maandamano
Tribeless, partyless, hio ndo msimamo
They killin’ us kwa protest, si bado tunamarch on
RIP to our heroes, washa candles

Haki iwe ngao na mlinzi
Nionyeshe politician mgani mwenye si mwizi
Sunday wako church pastor kuwabariki
Monday cheki news another scandal iko kwa TV, yo!

Kuna shuguli inatakanga mbogi
You must go tunaimba kwa maploti
Hujengi shule hakuna madawa kwa hosi
Tumejam usijifanye hujanotice

[Chorus: Bien]

Maandamano (maandamano)
Maandamano (maandamano)
Ah mi say, maandamano (maandamano)
Maandamano (maandamano)

Mapambano (maandamano)
Maandamano (maandamano)
Mapambano (maandamano)
Bado mapambano (maandamano)

[Outro]

Instrumental break / protest audio clips

Bien ft. Breeder LW – Maandamano

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts