Wakadinali – Mamacita Lyrics
Listen and read Wakadinali – Mamacita Lyrics on Doba KE.
“Mamacita” is the fourteenth song on Wakadinali’s Victims of Madness 2.0 album. It’s the album’s fourth visual release, following “Za Kimotho,” “No Money No Job,” and “Nyuria”.
Read Wakadinali – Mamacita Lyrics
(Big beats Afriq)
Dush, Dush, Dush
[Verse 1: Scar Mkadinali]
Mastingo deadly
Ni body bender nyonya heady
Anazimeza zero grazing
Siwezi enda ye’ ndio pedi
Wangu ahera, si nitachizi na hio tanye
Nimehula nimeshiba so nifanye?
Ye’ ni mboch si hukulana on Sunday
Ati, ye’ ni mboch si hukutana on Sunday
Bae si unipange, raw ama nikaange
Nyi husema champagne, si ni cham-pa-gne
Ndani ya Landro’ Disco
Na mita mbili niliwithdraw distro
Unatuma hadi siendi mtaa
Come, come upee mzae that Gen Z love
Kakijana kadogo hakujengi enough
Mamacita come nikuchangie life
For real!
[Chorus: Domani Munga]
Eh mamacita
Eh mamacita señorita
Eh mamacita señorita ukipita wanawika
Wanakuita wanalia wawawawawa
Eh mamacita
Eh mamacita señorita
Eh mamacita señorita ukipita wanawika
Wanakuita wanalia wawawawawa
[Verse 2: Sewersydaa]
Nataka kuwa Razy nikiwa wa Sosuun
Life so good just me and my goons
Boys in the hood we are a menace too
Naeza kaa tu pia niwatch cartoon
I can’t cuff you na unipee curfew
Kamati ya roho chafu si hupiga bafu
Niko na mistari tuishie kwa stu’
Na zero zitabaki tumadie Carrefour
Nilikushow usiworry, ka ni emergency
Utanipata wapi, kwa hema ya Gen Z
Just imagine G, ako chini ya twenty three
Na anafanya mamathe huku wako panicking
Najua mnafurahia hii shit but si ka mimi
Kwani ni nini queen ka mi ni king
Funga chapii, vua chupi
Juu niko hapa hadi ngware biitch!
[Chorus: Domani Munga]
Eh mamacita
Eh mamacita señorita
Eh mamacita señorita ukipita wanawika
Wanakuita wanalia wawawawawa
Eh mamacita
Eh mamacita señorita
Eh mamacita señorita ukipita wanawika
Wanakuita wanalia wawawawawa
[Verse 3: Domani Munga]
Niaje tena tunabishana?
Niaje tukipita wagoteka ukigotewa na tuvijanaa
Najua hawawezi, licha ya bazuu
Kwani hawamess nimepita nayo
Who’s the chicken now? ndio najipox
Remember Big Square nikikuingiza box
Hebu kuja tuishi maisha poa posh
Najua itawauma juu we ni manzi cha wa Dosh
Staki ubishi najua hunyitingi
Man’s gwiji sema major ligi
Toka kitambo nishakudicky
Show arif wako we’ ndio nadigi
[Chorus: Domani Munga]
Eh mamacita
Eh mamacita señorita
Eh mamacita señorita ukipita wanawika
Wanakuita wanalia wawawawawa
Hey papichulo
Hey papichulo nakuita
Hey papichulo Señor ukipita moyo wangu unalia
Unawika wawawawawa
[Chorus 2: Domani Munga]
Eh mamacita
Eh mamacita senorita
Eh mamacita senorita ukipita wanawika
Wanakuita wanalia wawawawawa
Hey papichulo
Hey papichulo nakuita
Hey papichulo Señor ukipita moyo wangu unalia
Unawika wawawawawa
Produced by: Ares66
Video directed by: AntyVirus AV
Did you enjoy Wakadinali’s “Mamacita” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
