Blinky Bill – Mtaona Nikipaa Lyrics

Listen and read Blinky Bill – Mtaona Nikipaa Lyrics on Doba KE. On the second song from his third studio album, We Cut Keys 2, Blinky signals his rise. “Mtaona nikipaa” is Swahili for “You will see me rise.”
Read Blinky Bill – Mtaona Nikipaa Lyrics
[Chorus]
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Naelewa mwashangaa (naelewa mwashangaa)
Lakini bado nitapaa (lakini bado nitapaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Naelewa mwashangaa (naelewa mwashangaa)
Lakini bado nitapaa (lakini bado nitapaa)
[Verse 1]
Ogopa showstopper, rollercoaster
Chai moto kwenye coaster
Nawaona, from the helicopter
Foot was on the gas, why you backpedalling
Test that metal and show us what you got again
Almost got sucked in then I hit a second win
Na the wings checked in, not a four-sixteen
Yeah, this is not a drill, ah, it’s a thrill thrill
Mcee’s on the grill, and i’m woking up an appetite
You tell me about the GDP per capita
In a country where greed is the capital
Kata haikatiki, kunishika sipitiki
Kata kata mshikaki kana kwamba sijashiba
I’m bringing you these gifts like the queen of Sheba
Kama una-feel weka hio mkono juu
Ukitaka kuniona wewe angalia juu
[Chorus]
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Naelewa mwashangaa (naelewa mwashangaa)
Lakini bado nitapaa (lakini bado nitapaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Naelewa mwashangaa (naelewa mwashangaa)
Lakini bado nitapaa (lakini bado nitapaa)
[Verse 2]
It’s a beat bandit, eccentric, cinematic
Why so dogmatic, need some new tricks
Two, three, theatrics we believe you
Maintain a tone on me, break the monotony
Too many followers not enough leaders
Give these panelists some cus–
So they know that they part of this, some part of this
Wapi vigelegele za yule aliye mbele
Mungu yuko (yuko yuko), yuko wapi
Aje aje abariki (abariki)
Watoto wake wa Afrika Mashariki (mashariki)
Sijazoea ongeleshwa hivi hivi (hivi hivi)
Itabaki itabidi nimezidi (nimezidi)
Kuwapasha hawa hawa magaidi (magaidi)
Shika kahawa utoe hio baridi
I say, I say yoh
[Refrain]
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
When I go, when I go, I go correct
So you better come correct
[Chorus]
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Naelewa mwashangaa (naelewa mwashangaa)
Lakini bado nitapaa (lakini bado nitapaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Mtaona nikipaa (mtaona nikipaa)
Naelewa mwashangaa (naelewa mwashangaa)
Lakini bado nitapaa (lakini bado nitapaa)
Produced by: Sichangi
Did you enjoy Blinky Bill’s “Mtaona Nikipaa” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.