Lyrics > Denzel Kong – Mayout Lyrics FT. Jovie Jovv

Denzel Kong – Mayout Lyrics FT. Jovie Jovv

Left: Denzel Kong, Right: Jovie Jovv
Denzel Kong - Mayout FT. Jovie Jovv

Listen and read Denzel Kong – Mayout Lyrics FT. Jovie Jovv on Doba KE.

Over the upbeat instrumental by Lemario, Denzel Kong and Jovie Jovv address the plight of Kenyan youth and their struggles.

Denzel Kong tweeted that the visuals will be dropping soon.

Read Denzel Kong – Mayout Lyrics FT. Jovie Jovv

Tunang’ang’ana sana
Eskerrit, eskerrit
Aiyaiya (aiyaya), aiyaya
Aki walai

[Chorus: Jovie Jovv]

Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout tunang’ang’ana sana (ng’ang’ana sana)
Bado tunatry kujipanga (try kujipanga)
Ni sad vile tunakazana (tunakazana)
Bado tunatry kujibamba (try kujibamba)

Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout tunang’ang’ana sana (ng’ang’ana sana)
Bado tunatry kujipanga (try kujipanga)
Ni sad vile tunakazana (tunakazana)
Bado tunatry kujibamba (try kujibamba)

[Verse 1: Denzel Kong]

Mayout tunastruggle tu sana
Kikush si hupuff kwa sana
Tulenge stress tukisonga tu sana
Tunajituma na sio kwa baba, yoh

Mdagi tukiskuma hii life, ah
Ni Jovie na Kong kwa grind, yeah
Tumejituma design isipojipa nabonga na brathe, yeah
Kwa hii corner mi nina-chill na real ones

Na si tukiona unamove vifunny ni riswa
Iza, then si tunakutoka viclean tuseti mambichwa
Kichwa ni mbaya, damn iza
Siwezi skiza, drip cold ka freezer

P’s up, yeah ju ka daily nagrind cheese up
Skiza, mayout tunagrind tu sana
Na tunatry kujipanga
Ni sad vile gava inalenga, na bado tunakazana

[Chorus: Jovie Jovv]

Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout tunang’ang’ana sana (ng’ang’ana sana)
Bado tunatry kujipanga (try kujipanga)
Ni sad vile tunakazana (tunakazana)
Bado tunatry kujibamba (try kujibamba)

Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout tunang’ang’ana sana (ng’ang’ana sana)
Bado tunatry kujipanga (try kujipanga)
Ni sad vile tunakazana (tunakazana)
Bado tunatry kujibamba (try kujibamba)

[Verse 2: Jovie Jovv]

Siku moja mayout tutaungana
Mabro na siz tunafanana
Niaje ni mayout wanamadwa, ay
Ka si kumadwa wanajimada

Gava inatry kutuhanda, ay
Ka si mafed, ma-law zinakaza
Ka sina bed, ni wapi ntalala
Ka sina bread tunamangana

Kwa streets na-move ka shadow
Kwa ndai nimejaza cargo, ay
Broski ametoka Lagos
Anamake mita tu na kinangos

Bado mayout wanastruggle
Kujituma imegeuzwa hustle, ay
Trap imegeuka commercial (ay)
Nipate kwa hood, natoka kijasho

Mzae alinichapia bure kabisa
Matha alinichapia rudi kanisa
Bado hio pic na-take kusafisha
Bado kwa streets nasababisha

Mayout tumechoka
Saii form ni kata na shoka
Mnyonge aendelee kutoboka
Kuwa na hope tunaomoka

Let’s get it

[Chorus: Jovie Jovv]

Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout tunang’ang’ana sana (ng’ang’ana sana)
Bado tunatry kujipanga (try kujipanga)
Ni sad vile tunakazana (tunakazana)
Bado tunatry kujibamba (try kujibamba)

Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout, mayout, mayout, mayout
Mayout tunang’ang’ana sana (ng’ang’ana sana)
Bado tunatry kujipanga (try kujipanga)
Ni sad vile tunakazana (tunakazana)
Bado tunatry kujibamba (try kujibamba)

Mayout!

YouTube player
Denzel Kong – Mayout FT. Jovie Jovv

Produced by: Lemario


Did you enjoy Denzel Kong featuring Jovie Jovv’s “Mayout” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts